Mafisadi 38 Kutajwa

no no, achana na ule wa ngono, ile pia sio majungu,(hata yeye mwenyewe hawezi kukataa), kuna nyingine mkuu, just take your time na utaziona hapa ! zipo kede kede !
 
haya sio madai yangu, bali ni kitu ambacho kipo, ulikuwa wapi wakati tunadiscuss hayo mambo hapa JF ?

tena na sio hao tu, (slaa, mbowe) wapo wengine wengine kibaooo (wanafahamiana) ! stay tuned !

Tatizo lenu nyie majungu na porojo mmeweka mbele. How do you explain these allegations? Unasema tumeisha jadili, umejadili wewe na nani? oh! this is fact...well, how do you establish fact?
 
Tatizo lenu nyie majungu na porojo mmeweka mbele. How do you explain these allegations? Unasema tumeisha jadili, umejadili wewe na nani? oh! this is fact...well, how do you establish fact?

first red words- umesema "lenu" mie na nani ?
second red words- it might answers your generalization to your previous statement (first red words) !!
 
very hard indeed !
makada wengine gani hao ? usigeuze mada kuwa ya makada, bali bali kule kule kwenye mafisadi !
 
Tatizo lenu nyie majungu na porojo mmeweka mbele. How do you explain these allegations? Unasema tumeisha jadili, umejadili wewe na nani? oh! this is fact...well, how do you establish fact?

shetani !
ipo siku utasema makada wote nao mafisadi !
 
It is true kuwa Mafidsadi hapa Rais ana maana Vifisadi. Sie tunanasema Mafisadi. Au kiswahili kina tatizo hapa. Watanzania tunaposema Mafisadi Tuna maana ya YEYE Rais Kwanza Unless ajisafishe. 2 The ALL ELEVEN Including Low as aa. the previous president Nche Nkapa. tukiona hao wanawajibishwa na kufilisiwa then hapo hata vifisadi vitakoma. Wanaokumbuka Historia ya Nchi enzi za Moringe aliangusha magogo kwanza hivyo vitawi vidogovidogo vikakauka. POROJO TU ZA KAWAIDA ZA mwenyekiti wa CCM.
 
...hizi story za mafisadi ziko kila kona lakini at the end tunaishia maneno tuu na kudiscuss mikutano ya kizota ya chama cha mafisadi
 
no doubt shetani !

lakini sidhani kama itakuwa "wote",!! ukisubiri "wote" wafikie definition ya mafisadi, i guess you will wait for ever ! maana sio "wote mafisadi" !
 
ni kweli kabisa...vitakamatwa vidagaa tu...hatutawaona JK eleven hata mmoja...Mzee wa porojo, anaendeleza porojo zake..
Mhh... hivi vidagaa vitawabana kinywani maanake sidhani kama watataka kuzama peke yao! eagerly awaiting!!;)
 
no doubt shetani !

lakini sidhani kama itakuwa "wote",!! ukisubiri "wote" wafikie definition ya mafisadi, i guess you will wait for ever ! maana sio "wote mafisadi" !

Tunapowaita watu mafisadi unadahni huwa tunaamanisha nini? Umeingiza neno "wote" nimekwambia waki fit definition ya ufisadi nitawaita mafisadi, unaanza kujikanyaga kanyaga. You even get scared like a baby who shit on his pants.
 
ohh ! yeah ? i'll get you !

halafu sijaingiza neno"wote", ni wewe uliyesema ! haya UMESHINDA SHETANI !!
 
List za mafisadi za kivikundi ziko nyingi na zina maana tofauti na ile ya kitaifa.

Hata sisi hapa JF tunayo,Nafasi Namba 1 ya ufisadi ilichukuliwa na Mwanakijiji.

List ya Mafisadi ya Kitaifa ni moja tu na wote tunaijua.
 
Kada
Naweza kukuita kuwa ni most interesting member wa JF, kutokana na your side of story. Naona mpaka sasa nyie mnazidi kukanusha shutuma za ufisadi kwenye chama chenu. Huenda wewe una jua kidogo ni kina nani watatangazwa siku za karibuni kujihusisha na vitendo hivyo, wewe ni insider tudokeza kidogo. Anyone in list of shame??
 
Huyu Rais ameshaweka MAZINGIRA YA SIASA kwenye hizo kesi zitakazikuja (kama kweli zitakuja)...kwa maana nyingine HAKI YA WATUHUMIWA ameshaitia kapuni kwake...hao watashtakiwa kwa sababu Rais kasema...

Do you trust this guy!? I DON'T! Do you remember what he said during his 2005 election campaign about Mikataba, maisha bora kwa kila Mtanzania, ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. What has been achieved so far from those promises!? *~*NOTHING, ZERO, ZILCHY*~* If he is serious about this then the first culprit should be Mkapa and some ministers from awamu ya tatu as well as awamu ya nne. Otherwise it'll be another form of usanii.
 
Hakuna shaka Kikwete ana uwezo wa kubadilika na kuwa mkali na mtu wa msimamo wa juu kama akiamua. Lets just hope hajaropoka and then aishie kukamata dagaa badala ya mapapa wa ufisadi. He has put himself to a test in the eyes of watanzania. na huu mtihani ataupita kama ataacha huo ubia ambao anawadanganya watanzania kwamba hana wakati kilichompa nafasi ya uongozi wa serikali (sio nchi au taifa), ni mafisadi.

Kikwete hajachafuka bado, hilo halina mjadala. Kwahiyo kutokana na political crisis iliyopo, tulitegemea afanye kitu cha maana kwenye huo mpitisho wa wagombea NEC (huu haukuwa uchaguzi hata kidogo ulikuwa ni mpitisho), lakini as long as as ametoa ahadi kushughulikia mafisadi, labda tumpe muda kidogo. Lakini subira yetu hii tunataka izae matunda na mafisadi wa BOT na mikatba ya madini na umeme washughulikiwe.

Asisahau kwamba kuna nchi, taifa na serikali na yeye na wenzake hao wa mtandao wenye kukatia viuno mchiriku kutokana na kupitishwa NEC [picha za mchiriku zipo kwenye gazeti la Mwananchi] katika haya matatu ya taifa, nci na serikali, wameshika moja tu - serikali.

Kwanini uchaguzi ulimalizika usiku na matokeo kulala hadi kesho yake? jib ni rahisi sana. usiku ule mafisadi hawakulala. walikuwa busy wakipitishana na kupeana kura nyingi ili waonekane wana support kubwa ndani ya chama.

Kweli ccm kuna utamu. Hata mzee malecela anafikia hatua ya kusema kama akibaki mwanachama mmoja wa ccm basi atakuwa yeye? All this is not coincidence. At 73 years old, he must be expecting aidha pesa za BOT kama za mzindakaya akafungue mashamba yake ya mazabibu huko ugogoni au atatengenezewa cheo cha kumtunza.

Chama cha mapinduzi kitadumu. Ila viongozi wake wa sasa wameishiwa fikra sahihi.
 
List za mafisadi za kivikundi ziko nyingi na zina maana tofauti na ile ya kitaifa.

Hata sisi hapa JF tunayo,Nafasi Namba 1 ya ufisadi ilichukuliwa na Mwanakijiji.

List ya Mafisadi ya Kitaifa ni moja tu na wote tunaijua.

heheeee, maneno mazito hayo Mkuu ! teh teh, haya bana subiri nikasikilize marijani rajabu mie !
 
Kada
Naweza kukuita kuwa ni most interesting member wa JF, kutokana na your side of story. Naona mpaka sasa nyie mnazidi kukanusha shutuma za ufisadi kwenye chama chenu. Huenda wewe una jua kidogo ni kina nani watatangazwa siku za karibuni kujihusisha na vitendo hivyo, wewe ni insider tudokeza kidogo. Anyone in list of shame??

Mkuu,
hata mie nasubiri kusikia hao watu, kwa hilo siwezi kuficha nimebaki mdomo wazi, na sasa ni kusubiri tu ndio itakuwa solusheni ! Na asikwambie mtu kama kutoa shutuma then ukawaambia wasubiri, maana they will be dying kujua nani yumo, nani hayumo (Mfano mzuri, ile list ya mafisadi JF*nadhani imefutwa kwa sasa)!

Lakini ndio hivyo tena !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom