Hivi ni nini Kikwete ataongea hapa JF mumuunge mkono? Hata kama ana matatizo sawa lakini hili aliloliongea ni jambo kubwa, tusubiri matokea kabla ya kutoa hukumu. Kila mtu anatoa hukumu, wengine ohoo sijui ni dagaa tu ndio watatajwa, nk. Kwa nini tusisubiri jamani? Mnakuwaje lakini. AU kuwa sceptical ndio kutoa mchango hapa? Ukiunga mkono kwani kuna kosa gani?