Msaada jinsi ya ku unlock downloaded content

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,106
173,890
Wadau kwema,

Recently nine download pc games za kutosha katika laptop yangu. Files ziko zipped katika .rar nimetumia winzip ku unzip ila swala la kusikitisha zile files kumbe ziko encrypted (locked) zinadai password kwanza hivyo nashindwa ku execute setup.

Kwa mtundu aliewahi kukutana na hii case je nitumie njia gani ku decrypt (unlock) such kind of files. Kama kuna third party software nipeni link wazee it wull be highly appreciated.c
 
Umedownload sehemu gani? Mara nyingi jina la website hayo mafile yalipo originate ndio password
 
Kwenye page uliyodownloadia alieye upload hajaeka description ya password? Angalia pia kwenye comments inawezekana wame discuss.
Hakuna mkuu ndio shida na wala sikuona kitu km password. Nimeshangaa hata kumbe unaweza lock rar file na password.
 
Wengine wanakuwa matapeli, wanaweka password hivyo na kukupa link ya kutafuta hio password.

Kwanini usidownload kwenye site za kuaminika kama oceanofgames?
 
Sikujua hizo site, mi nlitafta tu nkapata hapo gamestorrents, pia napendaga shusha torrents maana hata net ikifail inakuwa less risky tofauti na kudownload direct!
 
Back
Top Bottom