Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,244
- Thread starter
- #61
Hayo yote yanapaswa yawe covered na mwajiri kupitia occupational healthy and safety standards!!
Kama haiko hivyo ni kiasi cha kudai; hiyo ni halali yako kisheria.
Kutokuwepo kwa hizo standards si sababu ya wewe kuiba ama kufanya illegal deals!
Huo ndio wizi wenyewe; wizi wa kutumia kalamu!
Hukujua yote hayo kabla hujakubali kazi? Hakufahamu mazingira ya kazi unayoiomba na malipo utakayopata?
Kama una nia njema na taifa lako na watu wake, hakikisha unapigania huyo bosi wako alipe kodi! Husikae kimya; kama upo kwenye nafasi ya kufahamu bosi alipi kodi, tumia nafasi hiyo kuleta msukumo wa bosi alipe kodi.
Ninayo nia sana.
Atleast nimefanya kitu na mmesha kisoma magazetini. Refer Mwakyembe na wizi wa mafuta.
Kuna watu humu (names reserved) waweza kua mashahidi wa dhamira yangu katika kutetea maslahi ya nchi yangu
atleast katika hili.
Asante kwa kuwa positive katika topic iliyo jaa negativity.