ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Shughuli gani unafanya SEMBE au?
Independend Oil and Gas inspector....Surveyor
Mmh, umejimaliza.
Ewura wataanza kufuatilia kama nini. kwa nini unasema kazi yako? How old are you?
Surveyor.
Nimesema kazi yangu haimdhuru mtu kwa vyovyote vile.
Ahaaah...mkuu kama ni hiyo we endelea kupiga mpunga tu...miaka yote ile uliyosota kufanya engineering!!!
Hii,katika lugha ya kawaida una ielezeaje Safari_ni_Safari
Nilichoelewa kwa sasa una mjengo na usafiri a.k.a gari.......Hizo nyingine ni mbwembwe zako.
Easier said than done.
unamshabikia huyu leo ila kesho akifikia level ya kina Lowassa utasema fisadi au utamuitaje?
Independend Oil and Gas inspector....Surveyor
Kama oil and gas surveyor naamini kazi yako kuu ni kupanga na kupendeza boundaries na elevation ya shughuli na miundombinu ya oil and gas.
Sasa katika kupanga na kupendekeza huko, ukikosea vipimo kwa makusudi (ili kupata pesa kama unavyodai katika uzi wako mkuu), huoni kama utaleta madhara kwa watu walio karibu na shughuli na miundombinu hiyo? Vilevile kama kukosea huko kwa namna moja ama nyingine kukilisababishia taifa hasara katika kodi huoni kama kuna watu watadhurika kwa kukosa huduma ambazo zingegharamiwa na kodi hizo?