Mhhh sijawahi kufikiria "material things" labda, lakini naamini nikiwa "happy" basi maana yake nimefanikiwa kimaisha.
Kwa hiyo kipimo changu cha mafanikio kipo kwenye "furaha" yangu zaidi.
Believe me Mbu, I am among those. Humkumbuka Muumba pale ninapojikuta sina pa kushika! Namshukuru ni Mungu mwenye huruma hata nikimsideline kiasi gani siku nikirudi hunipokea kwa mkono miwili. Jamani ubinadamu kazi
...dahhh, haya tena mwanajamiione hapa unatupiga madongo ambao pamoja na kukumbuka kuomba dua wakati wa shida, tunaipita misikiti na makanisa "kama vituo vya polisi"...
enhe braza NN, kwa mtazamo wako...nini kipimo cha mafanikio bana...
ni kutimiza malengo peke yake au ni pamoja na kukubaliana na hali yasipofanikiwa?
Believe me Mbu, I am among those. Humkumbuka Muumba pale ninapojikuta sina pa kushika! Namshukuru ni Mungu mwenye huruma hata nikimsideline kiasi gani siku nikirudi hunipokea kwa mkono miwili. Jamani ubinadamu kazi
Sweetie am trying angalau kwa sasa nawezasema najitahidi! Aksante kwa kunisisitizia darling
MJ1, badilisha hiyo tabia. Tusimkumbuke Mungu pale tu tunapokuwa na shida/matatizo katika maisha hata pale tunapokuwa na mafanikio katika maisha basi inabidi tumshukuru kila siku iendayo kwake. Mimi namshukuru kila siku kwa aliyonijalia hadi sasa.
Huu ni mfano, sina hakika kama ni kweli...
Kuna kijana mmoja wakati alipokuwa na miaka 18 alikuwa na ndoto za kubadilisha dunia... alipofika 22, akagundua dunia ni kubwa akaota kubadilisha nchi yake... alipofika 30, akagundua nchi yake ni kubwa mno, akaota kubadilisha jimbo lake... alipofika 40 akagundua jimboni kwake hata hajafahamika, akaota kubadilisha familia yake, alipofikisha 50, akagundua familia yake imeshakua katika hali na tabia ambayo hawezi tena kuibadilisha, akaamua kuota kujibadilisha mwenyewe... alipofika 60 akaona kuna mambo aliyazoea na alikuwa na nguvu ya kuyafanya ujanani, na asingeweza tena hata kujibadilisha yeye mwenyewe...
Ndipo akagundua; Inabidi mtu uwaze kujashape mwenyewe kwanza, then ukifanikiwa uote kushape familia yako, then ukifanikiwa, jimbo lako, then nchi yako, na ikiwezekana mwisho uwe na ndoto za kushape dunia...
Katika mfano tunaweza ku-replace neno shape na furahisha (kujifurahisha na kufurahisha wengine)...
Loh .......Mbu, haya sasa.Nifika kileleni
MbuKusema ukweli, kufanikiwa kimaisha (being successful) is a very subjective term ambayo mara nyingi huwa pia inategemea na societys standards. Kwa wengine mafanikio au kufanikiwa inamaanisha kuwa responsible, you make more than enough to pay your bills, you're married with children, you have a college degree and you have a prestigious job. Sure, kila mtu atakuangalia na kukudefine kama mtu mwenye mafanikio. Mara nyingi wengi wetu tunaishi kwa jinsi jamii inavyotumould na kujikuta mtu unajihesabu umefanikiwa kwa kuangalia acknowledgement ya wengine kwako kuwa umefanikiwa. Kwamba kwa wewe kujiita mtu aliyefanikiwa ni lazima kuwe na a general acknowledgement kutoka katika jamii, mfano watu wengi tunamwona Mzee Mengi kama mtu mwenye mafanikio sana
Lakini kama alivyosema Gaijin hapo juu nani alishawahiuliza kama hawa tunaowaona wana mafanikio kama wana furaha, upendo na amani ndani ya mioyo, familia na nyumba zao?
So to me, being successful ni kuweza kuishi maisha yako to the fullest, ukiwa happy, umezungukwa na amani na upendo no matter una pesa kiasi gani, elimu kiasi gani au materials gani. Uwe na amani, upendo na furaha kiasi cha kuweza kufulfil malengo yako uliyojiwekea maishani.
[/QUOTE) Tukienda kwa jinsi ya mazingira ya ulimwengu ulivyo, hakuna mwanadamu itafika akasema amefanikiwa kwa maana ya kuwa na amani,furaha na upendo. Huwezi kuwa na amani/furaha wakati uhakika wa mlo wa mchana huna, upendo wako utakuwa hauna maana na hautathaminika wakti unaishi maisha ya kimaskini. kadhalka kwa matajiri mahangaiko ni hayo hayo. Bilionea mkubwa ujerumani alijiua kwa kujitupa kwenye njia ya treni wakati wa mwanzo wa recession. Ninachoamini mwanadamu atakuwa na amani, furaha na upendo wa dhati kama atakuwa anajua kusudi la yeye kuishi, na hili linategemea uhusiano wake na muumba wake. ndio maana mfalme suleiman alisema "hakuna jambo kubwa kwa mwandamu kama kula na kunywa na kufurahi kwa yale Mungu amekupa, hiyo nayo yatoka kwake" la sivyo, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo".Ndio maana, mtu ataitwa amefanikiwa kama atafanya kile ambacho Mungu alikusudia akifanye wakati anaishi duniani, ndio sababu maandiko yana sema, "Daudi akiisha kulitumikia kusudi la BWANA, akalala na babaze"
Tukienda kwa jinsi ya mazingira ya ulimwengu ulivyo, hakuna mwanadamu itafika akasema amefanikiwa kwa maana ya kuwa na amani,furaha na upendo. Huwezi kuwa na amani/furaha wakati uhakika wa mlo wa mchana huna, upendo wako utakuwa hauna maana na hautathaminika wakti unaishi maisha ya kimaskini. kadhalka kwa matajiri mahangaiko ni hayo hayo. Bilionea mkubwa ujerumani alijiua kwa kujitupa kwenye njia ya treni wakati wa mwanzo wa recession. Ninachoamini mwanadamu atakuwa na amani, furaha na upendo wa dhati kama atakuwa anajua kusudi la yeye kuishi, na hili linategemea uhusiano wake na muumba wake. ndio maana mfalme suleiman alisema "hakuna jambo kubwa kwa mwandamu kama kula na kunywa na kufurahi kwa yale Mungu amekupa, hiyo nayo yatoka kwake" la sivyo, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo".Ndio maana, mtu ataitwa amefanikiwa kama atafanya kile ambacho Mungu alikusudia akifanye wakati anaishi duniani, ndio sababu maandiko yana sema, "Daudi akiisha kulitumikia kusudi la BWANA, akalala na babaze"
Mwanajamii
Si hayo tu, tunaweza kumuona Mengi amefanikiwa kwa standards zetu sisi lakini yeye mwenyewe akadhani hajafanikiwa hata kidogo, na ndo kwnza anasaka mafanikio (hatujui targets zake ni nini)
Nifika kileleni
MwaJ
Kuna suala jengine ambalo sijui kama watu wengi wana li-experience lakini lipo. Ile watu kuku judge kuwa everything comes easy for you. Kuwa wewe njia yako ya mafanikio nyepesi na wao zao zimejaa miba na vigae.
King'asi acha tu yaani ni kweli kabisa wengi tunapopanga malengo tunafikiria kuwa tumempigia simu MUNGU na ametupa guarantee kuwa yatakuwa. Tunapanga, nitasoma, nitaajiriwa, nitaoa/olewa, nitajenga, nitasomesha watoto........yaani maisha yanakuwa smoothly planned utadhani barabara ya lami kumbe hata nazo siku hizi zina matuta!! MUNGU atusaidie kwa kweli.
msafi, aksante sana kwa angalizo hilo. Kusudio la kuishi........................ hivi ni wangapi wanjua makusudio yao?! Mie kusema ukweli nakiri kuwa weak wenye hii angle. Nadhani ndio maana mambo hayako sawa, I need a therapy.Tukienda kwa jinsi ya mazingira ya ulimwengu ulivyo, hakuna mwanadamu itafika akasema amefanikiwa kwa maana ya kuwa na amani,furaha na upendo. Huwezi kuwa na amani/furaha wakati uhakika wa mlo wa mchana huna, upendo wako utakuwa hauna maana na hautathaminika wakti unaishi maisha ya kimaskini. kadhalka kwa matajiri mahangaiko ni hayo hayo. Bilionea mkubwa ujerumani alijiua kwa kujitupa kwenye njia ya treni wakati wa mwanzo wa recession. Ninachoamini mwanadamu atakuwa na amani, furaha na upendo wa dhati kama atakuwa anajua kusudi la yeye kuishi, na hili linategemea uhusiano wake na muumba wake. ndio maana mfalme suleiman alisema "hakuna jambo kubwa kwa mwandamu kama kula na kunywa na kufurahi kwa yale Mungu amekupa, hiyo nayo yatoka kwake" la sivyo, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo".Ndio maana, mtu ataitwa amefanikiwa kama atafanya kile ambacho Mungu alikusudia akifanye wakati anaishi duniani, ndio sababu maandiko yana sema, "Daudi akiisha kulitumikia kusudi la BWANA, akalala na babaze"