King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Unaona sasa! Afu watu kama hawa ur worries are not their worries! Ukienda kijijini mtu anakutambulisha wanae sita hawana hata kaptula,afu mkewe anatoka huko ndani ana mimba unastuka unaunganishia na kikohozi,lol
king'asti umesema la maana sana...the higher we climb the harder we fall...!
unajua, nikiwa nje ya jiji hasa dar....huwa nawa admire furaha yao hawa wenzetu wanaoishi
maisha ya kijijini...
wakishajitosheleza kwa mazao na mifugo tu...wanaonekana 'hawana' presha nyingine za maisha.
...correct me if am wrong, otherwise i bet am going nutter huh!