Chanika uwa mvua inanyesha sana kuliko mahala pengine,sijui kwanini
kuna jamaa yangu alinitembelea huko,nilimuonea hurumaKing'azi kama huna koti kunakipindi utakufa kwa baridi.
Njoo king'azi huku kama hujaomba jacketKati ya yote sijaona eneo baridi kama Kijichi,lile ni zaidi. Hata maeneo ya kando ya bahari mengine bado hayaifikii
Yap king'ong'o full kipupweNilienda King'ongo mwezi wa 7 kuna baridi karibu sawa na maeneo fulani ya njombe.
Kimara hakuna joto ila jiandae kupambana na harufu ya mavi ya nguruwe !!! Utaipoza kwa kutumia barakoaNaskia kimara yote ni kweli?