Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na joto kali sana lililopitiliza ndani hakukaliki wala nje. Wataalam wa hali ya hewa wanasema Dar ina excessive heat, 76% humidity na joto linakadiriwa kuwa 35c na hapo kukiwa na hadha ya kukatika umeme usiku na mchana. Tunashauriwa kwa siku atleast unywe lita moja ya maji kupunguza kadhia hii kiafya. Haya wenzangu unapambana na joto namna gani?