Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana.....

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Messages
786
Points
1,000

TOHATO

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2016
786 1,000
Maeneo yote ambayo hayana msongamano wa nyumba nyingi hayana joto kama Mbezi Beach,kenyerezi , Oystarbey, Masaki .. Maeneo ya vijilima kama Baadhi ya sehem za Goba, Salasala .. Sasa jichanganye uishi mahali hakuna hata mti mmoja zaidi ya nyumba tuu kama Mwananyamala Rivaside mbagala .gongolamboto,maeneo ya temeke
 

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,779
Points
2,000

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,779 2,000
Maeneo yasiyo na joto ni maeneo ya ufukweni ,Plot zake ni low density hakuna kubanana Mkuu
Unahisi au umeshawahi kuwepo yale maeneo mkuu?Bahari ikikamata joto maeneo yote ya kando ya bahari kunakuwa na joto lenye fukuto,ikikukuta hiyo hali utaikumbuka Manzese...
 

Forum statistics

Threads 1,343,415
Members 515,055
Posts 32,784,013
Top