road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
Vipi mavi ya nguruwe!?? Au barakoa zanaokoa jahazi?Kimara mkuu hamna joto
Vipi mavi ya nguruwe!?? Au barakoa zanaokoa jahazi?Kimara mkuu hamna joto
Nipo Buyuni hapa Yani mwaka mzima najifunika branketNjooo chanika ule bata na hewa safi
Mabibo
Sasa mkuu mi nimesema ubungo kibangu unasema Makuburi tena.......ninaposema ni maeneo ya Kanisa la Lutheran,Nova mpaka JS Corner......eneo lote hiloKibangu ipi hostel au makaburi
Ndiyo wapi huko?King'azi kama huna koti kunakipindi utakufa kwa baridi.
Keko Magereza, bondeni. Waone Waruguru mitaa hiyo, utakupenda.Leo nimekuja na hii mada walau tupeane info za life si unajua tena
Ni maeneo gani kwa dar hayana joto sana?
Ni maeneo gani hayana joto sana ukilinganisha na maeneo mengine?
Kiukweli sipendi maeneo yenye joto kali ndo maana nauliza angalau yenye unafuu na yasiyo na joto sana.