Mtaalam wa Afya: Ukiona Joto limezidi Dar na ZnZ tafuta sehemu yenye Upepo Kaa Uchi / Utupu ili Ulipoze

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,656
109,056
Hata na Mimi GENTAMYCINE kutokana na Joto la sasa la Dar es Salaam kufikia Nyuzi Joto 33 baadae Saa 5 au Saa 6 nitakuwa katika Miti mizuri mahala fulani huku nikiwa na Suti yangu ya Asili niliyotoka nayo Mbinguni kwa Mola ili Kujipoza na Joto Kali.

Haya na Wengine pia Mtaalamu wa Afya tayari ameshasema kuwa kwa Wakazi wa Dar es Salaam na Zanzibar kutokana na Joto kuwa Kali na linaloathiri Afya wakiamua kuwa Watupu ( Uchi ) muda mrefu Wasilaumiwe kwani hiyo ni mojawapo ya Mbinu Tukuka ya Kulipoza Joto na Tiba ya Awali.
 
Back
Top Bottom