Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

mbezi ya kimara, ili ufuraie upepo mzuri basi pia eneo la nyumba walau liwe ukubwa wa nusu eka na kuendelea.
 
Kati ya yote sijaona eneo baridi kama Kijichi,lile ni zaidi. Hata maeneo ya kando ya bahari mengine bado hayaifikii
 
Back
Top Bottom