Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

Nimekuelewa mkuu
 
Maeneo yote ambayo hayana msongamano wa nyumba nyingi hayana joto kama Mbezi Beach,kenyerezi , Oystarbey, Masaki .. Maeneo ya vijilima kama Baadhi ya sehem za Goba, Salasala .. Sasa jichanganye uishi mahali hakuna hata mti mmoja zaidi ya nyumba tuu kama Mwananyamala Rivaside mbagala .gongolamboto,maeneo ya temeke
 
Karibu Chanika huku hewa ni ile fresh toka milima ya Kisarawe na msitu wa Kazimzumbwi unalala umejifunika blanket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…