Alpha Blondy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 282
- 387
Kimara mkuu hamna joto
Nimekuelewa mkuumwishomwisho kuelekea kisarawe huko karibu na eneo la mloganzila.
kule mkuu kuna kipindi inabidi uwe unalala na nguo, blanketi na shuka juu.
ukitaka kufika panda daladala Muhimbili Kifuru kupitia kinyerezi. ukifika kifuru Bodaboda Buku tu au bajaji Jero.
Makoka ndio hakuna jotoUbungo kibangu
Kimbiji! JF of GT haina tofauti na watoto wa shule ya msingi.Mbutu
Dege
Kimbiji
Kibangu pia hakuna kabisaMakoka ndio hakuna joto
Naskia kimara yote ni kweli?
Kariakoo magorofanikariakoo.
hasa Mbezi stop over, Kibanda cha mkaa mpaka Luis vilima vyote nafuu hakuna joto a kihivyoNaskia kimara yote ni kweli?
Unahisi au umeshawahi kuwepo yale maeneo mkuu?Bahari ikikamata joto maeneo yote ya kando ya bahari kunakuwa na joto lenye fukuto,ikikukuta hiyo hali utaikumbuka Manzese...Maeneo yasiyo na joto ni maeneo ya ufukweni ,Plot zake ni low density hakuna kubanana Mkuu