Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

mwishomwisho kuelekea kisarawe huko karibu na eneo la mloganzila.
kule mkuu kuna kipindi inabidi uwe unalala na nguo, blanketi na shuka juu.
ukitaka kufika panda daladala Muhimbili Kifuru kupitia kinyerezi. ukifika kifuru Bodaboda Buku tu au bajaji Jero.
Nimekuelewa mkuu
 
Maeneo yote ambayo hayana msongamano wa nyumba nyingi hayana joto kama Mbezi Beach,kenyerezi , Oystarbey, Masaki .. Maeneo ya vijilima kama Baadhi ya sehem za Goba, Salasala .. Sasa jichanganye uishi mahali hakuna hata mti mmoja zaidi ya nyumba tuu kama Mwananyamala Rivaside mbagala .gongolamboto,maeneo ya temeke
 
Karibu Chanika huku hewa ni ile fresh toka milima ya Kisarawe na msitu wa Kazimzumbwi unalala umejifunika blanket
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom