Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

shauri yakoo, wee ingia cha kike tuu, kuna mitaa / maeneo ukihamia tuu, mkeo anakuwa kigodoro, wanao nao wanakuwa mateja na machangudoa……. eti sijui kwa mpalanghheee, sijui tandika, kwa mtoghole, kwa mama zakhari, ohoooo watu washa umia na majuto ni mjukuuu
Kweli mzee.. niko makin sana na hilo.. maeneo ya uswazi haya hapana asee
 
Palm village mall mikocheni unapata apartment kwa bei rahisi tu mkuu 7M kwa mwezi unalipia miez 6 mwanzo nilikua napaogopa kumbe bei rahisi tu 42M tu kwa miez 6 na pametulia sana
dah, mi mtoto wa mkulima tu mzee..
 
Yaaah ya dawasco,mwenye nyumba anatukingisha mia mia kwa ndoo,baada ya wapuuzi flani bili ikija ya maji wanagoma kulipa dadeq,can u imagine tulikuwa tunalipa 3000-5000 ila kuna masela walikaza et "mm mwezi huu sijatumia maji sana" dadeq
Duuh! Hapo ndio utajua nyumba ya kupanga hakukosi kimeo. Hao masela noma

Ila bei yake nimeipenda
 
Njoo kimara mwisho au njia ya kimara hutojuta! Faida za kukaa eneo hili ni;
* Ni rahis kupata usafir kwenda sehemu yoyote ndani na nje ya dar
*Maji huku tangu niishi sijawahi kujuta
*Kuna hewa safi
* umeme huku sijasikia ukikatika mara kwa mara
e.t.c
 
I think inategemea na wewe mwenyewe.

Kuna watu wanapenda sehemu za kuchanganyika yaani palipochangamka na majirani wanafanya interaction na wenzao. Hawa ni rahisi kublend na wenzao hivi sehemu za mkusanyiko haziwasumbui.

Kuna wengine wanapenda very private lives. High walls, tinted rides and little to no communication with human race.

These locations are totally different.
Wewe unapendelea wapi Kati ya hizo mbili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Una mke? Au mke na mtoto/watoto? Na mwaka wa4 toka nianze kupanga sijawai toka nje na mbezi Beach asee huku ni raha sana. Maji 24hrs, umeme sio wa shida, hakuna vibaka watu wanajiheshimu sana inshort hakuna uswahili. Bei za vyumba ni affordabe kabisa.
Hivi affordable ni sh ngapi wakuu??
 
Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
Sio Gomez panaitwa Goms au Gongo la mboto karibu pande hizi zipo poa sana kumetulia raia wapo harakati na maisha na bata hamna uswahili kama wa Mbezi Beach
 
Napenda quiet spacious places with many trees and the sound of nature.

To me nature makes more sense than humans.
Ktk hili tuko pamoja,napenda nature,napenda ukimya.wapi panafaa kujenga makazi ya Aina hiyo madam,tukajenge tuishi huko wawili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom