Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

The Stranger

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
270
246
Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
 
Una mke? Au mke na mtoto/watoto? Na mwaka wa4 toka nianze kupanga sijawai toka nje na mbezi Beach asee huku ni raha sana. Maji 24hrs, umeme sio wa shida, hakuna vibaka watu wanajiheshimu sana inshort hakuna uswahili. Bei za vyumba ni affordabe kabisa.
 
Una mke? Au mke na mtoto/watoto?. Na mwaka wa4 toka nianze kupanga sijawai toka nje na mbezi Beach asee huku ni raha sana. Maji 24hrs, umeme sio wa shida, hakuna vibaka watu wanajiheshimu sana inshort hakuna uswahili. Bei za vyumba ni affordabe kabisa.
Niko batchelor tu.. nyumba huko zinarange ngap, mana nasikia ni kodi mlima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom