kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,732
- 13,214
Cousin ako apa
Cousin ako apa
Uko sahihiNjoo kimara mwisho au njia ya kimara hutojuta! Faida za kukaa eneo hili ni;
* Ni rahis kupata usafir kwenda sehemu yoyote ndani na nje ya dar
*Maji huku tangu niishi sijawahi kujuta
*Kuna hewa safi
* umeme huku sijasikia ukikatika mara kwa mara
e.t.c
Miezi 6Una uwezo wa kulipa kodi ya miezi mingapi? Nikupe nyumba sinza, fanced, 2 bedrooms, jiko psmetulia mno
Grand nolasco
Mimi naona akiishi maeneo kama hayo hawezi kuwa mjanja. Ni vema kama akikaa sehemu zenye changamoto za vibaka, maji, umeme na barabara zisizopitika msimu wa Mvua.
Maji sasaGoba ndiyo Upepo unapovuma siku hizi..
Ya nini babu. Bunjub ipo baada ya kupita tegeta boko bunju a ndio waingia bunju b ma site. Uliza ma best hata madalali. All the bestWapi hapo weka kontakti
Vipi kuhusu nyoka...?Hahahahaaa... Mbezi makabe patam sana..yaani siku nikichill home nasahau kabisa kama nipo Dar...ni milio ya ndege tu na upepo mwanana. Nakaaga nazima TV au Radio niuskie tu ule utulivu aisee so wonderful
Yep, nilishahamia huku.. thank uTabata.
Tabata kuna joto sana sababu ya msongamano mkubwa wa makazi holela...sehemu nzuri kuishi kwa Dar ni Bunju Beach au Mbweni kumepangiliwa vizuri na upepo wa bahari unavuma saafi no stress...Tabata.
Ukiona watu wanakimbilia sana sehemu flani ujue huko kuna maisha.. kama watu wanavyokimbilia marekani tu. .. njoo tabata, kuna kila bata..Tabata kuna joto sana sababu ya msongamano mkubwa wa makazi holela...sehemu nzuri kuishi kwa Dar ni Bunju Beach au Mbweni kumepangiliwa vizuri na upepo wa bahari unavuma saafi no stress...
Chipsi funga tabata zipo ? Wanakuwaga wapi ?Ukiona watu wanakimbilia sana sehemu flani ujue huko kuna maisha.. kama watu wanavyokimbilia marekani tu. .. njoo tabata, kuna kila bata..