Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
Kwangu mimi Mbezi ya kimara ni sehemu nzuri ya kuishi.
 
Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
Kinondoni. Bunju viwanja vya mradi alfu 20. Pamepimwa. Vina hati. Pamepangika. Kuna soko kubwa. Mandhari nzuri yenye upepo miti na rutuba
 
Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
BUZA
 
shauri yakoo, wee ingia cha kike tuu, kuna mitaa / maeneo ukihamia tuu, mkeo anakuwa kigodoro, wanao nao wanakuwa mateja na machangudoa……. eti sijui kwa mpalanghheee, sijui tandika, kwa mtoghole, kwa mama zakhari, ohoooo watu washa umia na majuto ni mjukuuu
 
Back
Top Bottom