Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

I think inategemea na wewe mwenyewe.

Kuna watu wanapenda sehemu za kuchanganyika yaani palipochangamka na majirani wanafanya interaction na wenzao. Hawa ni rahisi kublend na wenzao hivi sehemu za mkusanyiko haziwasumbui.

Kuna wengine wanapenda very private lives. High walls, tinted rides and little to no communication with human race.

These locations are totally different.
 
Huku hutakutana na ushauri utakaokidhi matakwa yako maana kila Mtu atakutajia uzoefu wa anapoishi.
 
Kawaida sana, mimi nyumba ya rooms 2 master, sebule kubwa, aluminium, tank la maji lako, luku ya kwako kuna jiko na public toilet bila sahau tiles na gypsum nalipa 350k kwa mwezi
Mbezi beach siku hizi bei za kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom