Hapo ni mamba kwa makundiHii marangu nini!!
wachaga acheni kuturocha. hata ndeshau atasema hapo ndio uru kishumundu . hiyo picha ni like califonia fran hivi
Ha ha ha ... Hiyo complex inatoa huduma zoteMkuu panda tuu gari siku moja kwenda Mamba waambie wakushushe Kotela utaona kkitu hicho na upande wa kushoto mwa hapo kuna kanisa kubwa sana lilijengwa miaka ya 60 huko
Ndipo alipozikwa Askofu wa Kwanza wa KKKT
Kijijini, lakini kijiji kama ukionavyo na jengo linawapangajiYou the place? Nikijijini au mjini?