Maeneo flani hivi Kijijini...Kilimanjaro.

Hii marangu nini!!

Yes yes...km chache kutoka marangu mtoni.
Bado upo haya maeneo

Mamba Kotela hapo!

Mimi navuma moshi tu ndugu yangu!!! Karibu moshi
Leo nilikuwa marangu (ndo mara yangu ya kwanza) nimeshuka kituo kinaitwa headquarter nahisi kijiji kinaitwa samanga, kuna migomba mingi sana kilimo cha ndizi nilionyeshwa na nyumba ya mmiliki wa kilimanjaro express...

Swali langu je? hiyo picha hapo juu umesema ipo marangu sasa kwa eneo hilo nilipoishia leo ni karibu na hapo au sio hapo kabisa??
Natarajia kurudi dar kesho, now nipo Arusha.
 
Ni mbele kabisa mkuu...
Kwa hiyo barabara ni kama kilometer 10 hivi.
 
3b164f7c098c606be8c110e3da107bdf.jpg
Hili sio jengo la lemnge pale Mamba?
 
Back
Top Bottom