Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,706
poa.nitalicheki kesho
Licheki na uchukue picha
poa.nitalicheki kesho
Hivi mtu kaleta picha hapa wapi kajikweza?Kwa hiyo na wale wanaopiga picha BOT na kupost wanajikweza?Hawa jamaa hawanag tofaut na wahaya yan full kujikweza tu
Hivi mtu kaleta picha hapa wapi kajikweza?Kwa hiyo na wale wanaopiga picha BOT na kupost wanajikweza?
Tuache hizo tusifie vya kwetu kuna watu walikua hawajawai kuona hilo jengo kesho wanaeza enda hata kuangalia na kufanya Utalii wa ndani
kwanini hatupendi kusifia vya kwetu that why mtu unaenda nchi za wengine unakataa hata kusema umetoka Tanzania
Kila mtu kwetu Dar angeweka daraja la kigamboni hapo labda ndo ingekua afadhali siyo...
Hapana babu.Yes yes...km chache kutoka marangu mtoni.
Bado upo haya maeneo
Kaka watu wanawaonea wivu sana...Hivi mtu kaleta picha hapa wapi kajikweza?Kwa hiyo na wale wanaopiga picha BOT na kupost wanajikweza?
Tuache hizo tusifie vya kwetu kuna watu walikua hawajawai kuona hilo jengo kesho wanaeza enda hata kuangalia na kufanya Utalii wa ndani
kwanini hatupendi kusifia vya kwetu that why mtu unaenda nchi za wengine unakataa hata kusema umetoka Tanzania
Kila mtu kwetu Dar angeweka daraja la kigamboni hapo labda ndo ingekua afadhali siyo...
Kuna hoteli moja imejengwa katikati ya mikahawa hapo barabara ya kupanda kwa Mrema kupitia KNCU mbele ya Kinyange yaani ni balaa. Yaani mount meru Arusha ni cha mtotoWanajenga vitu vya ukweli huko migombani
Si mchezo...Kuna hoteli moja imejengwa katikati ya mikahawa hapo barabara ya kupanda kwa Mrema kupitia KNCU mbele ya Kinyange yaani ni balaa. Yaani mount meru Arusha ni cha mtoto
Ok...hebu niweke sawaumekosea kidogo mkuu
Whats that? Babu takuchapaaaa!ha ha ha... i remember something!!