Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
Huo ndo uhalisia pale ambapo wanachi wa kawaida hawajijiandaa kushiriki fursa za kiuchumi kupitia wao kujiendeleza kielimu na kuwa na akili za kijasiriamali za kutumia fursa za kiuchumi. Ndo maana ukitaka kuikomboa jamii kiuchumi, weka mfumo wa kielimu unaoandaa wanajamii kuzitumia fursa za kiuchumi hata pale ambapo anamaliza darasa la saba.
Huo ni ukweli nimeenda Zanzibar mara kadhaa,ukiacha hayo magofu ya forodhani na hiyo mitaa ya malindi hapo,huko kwengine ganzi tu na hizo hotels/beaches anazosema mtalii,sehemu nyingi ni za hivyo na watu wajinga sana
Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.