Maendeleo ya mimba ya Jide

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Jide ni Celeb wa bongo............ilo halina ubishi!
nimekua nikufuatilia blogu yake na source zingine zinazohusiana na izo.......kwa kipindi fulani hasa cha November last year kulivuka uvumi hasa kutokana na picha zilizoonyesha mabadiliko ya mwili wake..kiasi cha kupewa pongezi za ujauzto!!

naomba sasa kufahamu maendeleo yake...mbona nimechek kwenye blog yake sioni :mimba:kikitokeza???

nakumbuka commets zilikua nyingi zikimpongeza as if wao ndo walompima...naomba data!!
 
nenda pale nyumbani lornge utakutana na Gadna atakupa habari zote kuhusu mkewe hana noma
 
Jide ni Celeb wa bongo............ilo halina ubishi!
nimekua nikufuatilia blogu yake na source zingine zinazohusiana na izo.......kwa kipindi fulani hasa cha November last year kulivuka uvumi hasa kutokana na picha zilizoonyesha mabadiliko ya mwili wake..kiasi cha kupewa pongezi za ujauzto!!

naomba sasa kufahamu maendeleo yake...mbona nimechek kwenye blog yake sioni :mimba:kikitokeza???

nakumbuka commets zilikua nyingi zikimpongeza as if wao ndo walompima...naomba data!!

Mbona unajichanganya kwenye maelezo yako, umesema comments zilikuwa nyingi as if wao ndio wamempa huo ujauzito, sasa wewe unapotaka tena data ina maana na wewe umehusika katika kumpa ama unataka za nini, wewe umeibua jambo ambalo jibu lake unalo mwenyewe, kwa kuwa unajua ni mke wa mtu data anazo Mumewe na namba yake umepewa mpigie.
 
Kenda safari za Europe kuishia UK kujifungua anataka mtoto apate passport ya huko.
Hii taarifa ya kweli kutoka kwa wenye link naye facebook (ndio maana naupa thumbs up huu mtandao umeleta urahisi wa upatakanaji wa habari)
 
Kama ameipata kwa uwezo wa roho mtakatifu labda!

Mwaka janA mwezi wa kumi na mojA alikua anavAa nguo nyeupe tuu mwezi mzimA.Nimejiuliz mengi sana kwanini huo mwezi mzima Aamue kuvaa nguo nyeupe tuu through out the whole month?????
 
Gadna hana mbegu, yule kazi kulewa tu na ndiyo maana anapigiwa Jide ili apate kusingizio kuwa kamzalisha.
 
Mwacheni dada wa watu , kama Mungu hajampa uwezo wa kuzaa isiwe ndo sababu ya kumwandama . Hi ina weza kutokea hata kwa dada yako au kaka yako .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom