Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

Kasome vizuri historia ya china ndio urudi ku-posti tena na uangalie kwa nini waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili vya miaka mitano walivyobadili mwaka huu .Acha habari zako za kijiweni!
 
Kama hujui kitu bora unyamaze unajidhalilisha. Hivi unalinganishaje Tanzania na China? Alafu mbona hutaki kwenda deep kwenye economic theory ujue what was behind China's rapid success? Anyway, ningekuelezea, lakini kwa ufupi, acha ujinga kama siyo upumbavu
huyo jamaa wa lumumba ni mshamba kama mwenyekiti wake.lakini msaidie elimu kidogo juu ya China's rapid success
 
Hivi unaelewa kuwa hata wakati wa kukuwa kwa mtoto tumboni mwa mama yake, mfumo wa mwanzo mwanzo kabisa kuundwa ni ule wa "transport" (circulatory ystem).

Hivi wewe na akili yako unafikiri ni kwanini wakati wa world War 2 mataifa mengi jirani yalipigwa na Ujerumani?

Na baada ya vita Dwight Eisenhower, Rais wa 34 Marekani alifanya nini?

Hitler alijenga autobahn ambayo ukiachana na matumizi ya kawaida ilisaidia sana ku mobilize wanajeshi, vyakula na vifaa vya kivita kwa urahisi kabisa.

Rais Eisenhower ambaye alikuwa vitani wakati ule alishangazwa na mabarabara yale na jinsi yalivyotumika kifanisi vitani. Aliporudi na kuwa Rais alijenga Interstate and defence highway system. Ambayo imesaidia sana kuimarisha uchumi wa Marekani.

Msipende kubisha vitu msivyo vielewa Rais Magufuli anajitahidi mara mia kuliko hao watatu waliopita.
Hata kama anajitahidi lakini hatukuzoea mauaji yanayotokea wakati huu kwa wanaomkosoa aende kwao burundi.
 
Mkiangalia hii screenshot mnaelewa nini hapa
Screenshot_20180326-163830.jpg
 
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
 
Yanahitajika maendeleo katika nyanja zote, kiuchumi, afya, demokrasia, Elimu n.k.
 
Wazungu wajanja sana, wanatafuta maendeleo halafu huo upuuzi wa demokrasia wanatuachia sisi ngedere wa afrika.

Mambo ya haki za binadamu ni yetu sisi masikini, mambo ya maendeleo ya viwanda na ubunifu ni ya wazungu.

Badala ya kufikiria jinsi ya kutoka hapa tulipo na kupiga hatua akili zetu zote zimezama kwenye katiba mpya na demokrasia.

Rais JPM hatingishwi kijingajinga, hao maaskofu imekula kwao. Escrow inawahusu, na wao sio wasafi kama wanavyotaka jamii iwaone.
 
Hatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Mkuu uongozi wa rwanda unaujua au unaropoka tu, uongozi wa china unaujua au unaropoka tu. Rwanda kagame ni dikteta wa waziwazi. Kuna dada aligombea tu urais na kagame. Uliza saiz yupo wapi, kuna mjinga mmoja aliharibu akatimkia saouth, jamaa walimfata wakamrudisha akiwa kwenye box. So rais wetu ninmuungwana sana and tukimkataa tutajuta hapo mbeleni siku sio nyingi. Nije china sasa. Naona wewe mtoa post unaongea bila research. China watu walikuwa wanafanya kazi hadi wanafia kazini, unasogezwa pembembeni mzigo unauma. Usidhani maemndeleo unayoyaona china yalikuja kirahisirahisi kama akili fupi zinavyofikiri.china ukileta ujinga wa kusaliti nchi unapigwa risasi hadharani sio kuvizia. China usipofanya kazi unakufa bila msaada. Mm nimeishi china naijua vizuri sana maisha ya pale ni magumu kama hufanyi kazi utakufa na njaa tu ndo maana unaona wachina wengi sana wanakuja tanzania kutafuta maisha rais. Maana kwao maisha ni magumu sana asikwambie mtu
 
Inaonesha aina ya watu tulio nao humu. Utawala bora ni pamoja na usimamizi. Kiongozi anaswing katika pendulum ama continuum kulingana na aina ya kundi analoliongoza na majukumu yaliyopo. Ni baina ya Task Orientation na People Orientation. Inategemea mrengo wa watu ama mrengo wa majukumu.

Awamu ya kwanza ili kustawisha nchi ililerenga Watu. Awamu ya pili vivyo hivyo. Awamu ya tatu ilirenga Majukumu na Awamu ya nne ilirenga watu. Hiyo mirengo ilitegemea mazingira ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ya taifa na wananchi wake.

Kiongozi aliyeingia madarakani aliutengeneza uongozi wake kulingana na hali zilizokuwepo kama nilivyoainisha.

Ukiwapitia hao wote na mazingira ya nchi yalivyokuwa utaniunga mkono. Kila moja wao kwa aina yake ya uongozi aliifikisha nchi mahali fulani na tunawashukuru.

Ukiuliza wananchi kila moja wao ameacha kumbukumbu njema. Madhaifu ya kila mmoja tunakumbuka lakini zaidi sana mafanikio waliyotuletea.

Tulimwita Nyerere Mwalimu, Mwinyi tulimwita Mzee Ruhksa, Mkapa wengine walisema alikuwa "strong leader." Kikwete tulisema ni mpole hata aliposhambuliwa na yule jirani kwa maneno watanzania wengi tulisimama pamoja naye. Tulimpenda kama tulivyowapenda wote Mwalimu, Mwinyi na Mkapa.

Umesema juu ya Rwanda niseme nami Rwanda kwa sasa wamepata mtu sahihi kulingana na mahitaji yao na mazingira yao ya kijamii. Ongea na Wanyaruanda wenyewe hata Wafanyabiashara watakueleza wanavyomfurahia. Ni strong leader.

China pasipo kuwa na strong leader wangesambaratika.Watu wangeendelea kujenga majengo mabovu, kuuza maziwa ya watoto yenye sumu na mengineyo. Lee Kuan Yew aliijenga Singapore kwa sababu alikuwa strong leader. Trujilo alihifadhi Dominica kuwa bora kuliko majirani wake kwa sababu alikuwa ni strong leader.

Naye Sulemani mfalme alijenga Hekalu kwa sababu alikuwa ni Strong keader. Aliwaongoza Israel kufanya ile kazi ingawa walihenya sana. Yeye mrengo wake ulikuwa ni jukumu lililopo mbele yake. Pamoja na mzigo wake Sulemani hakupungukiwa na Diplomasia na kuwa na marafiki wengi duniani. Akaifanya Israel kuwa tajiri sana. Lakini kwake ilikuwa "hapa ni kujenga tu." Akawa na uhusiano mzuri na jirani yake Hiramu mfalme wa Tiro walishirikiana kujenga like Hekalu ( Mradi mkubwa sana karne ile ya 10 kabla ya Yesu.)

Kwa mtazamo wangu JPM kwa sasa ni "Task Oriented." Hatuna maana ameegemea mrengo wa Jukumu tu! Hapana tumeona sana matukio ya kujali watu pia. Mengi tu.

Hakuna maendeleo bila usimamizi thabiti wa kazi na Sheria. China wametumia hiyo, Singapore (tema big G mjoni kati uone).

Tanzania kwa awamu hii tulihitaji kiongozi atakayeamsha hisia za Watanzania kwa utawala wa sheria. Kulipa kodi, kuheshimu na kufanya kazi. Anaendeleza jitihada za watangulizi wake. Yeye ni strong leader (kiongozi mtekelezaji) kama wengi walioleta maendeleo kwa nchi zao. Tunapopaza na sisi sauti zetu kumfurahia JPM msizizime.

Pasipo kuwa jasiri na mvhapa kazi Mfalme Sulemani wa Israel asingelijenga hekalu.
 
Huku ni kufilisika kifikra kwa kiwango kisichoelezeka, Hivi Unajua gharama ya maendeleo bila uhuru kweli wewe....?Unataka theluthi ya watanzania watolewe kafara ili magorofa yajengwe alafu bado wabaki kwenye magereza ya kifikra....magereza ya kihuni kuliko unavyoweza kufikiri...kafara ya maisha milioni 30 unazani hio inawaacha wachina salama mpk leo pamoja na maendeleo superficial (skyscrapers ndo zinakudanganya?) walio nayo yatokanayo na utegemezi wa kifikra na wizi wizi wa kimawazo mpk kesho.

Kwa sababu ya kuzima uhuru wa kifikra mpaka kesho na kesho kutwa hata mchina aendelee kiasi gani anajua kua kifikra ni mdhaifu kuliko mtu yeyote aliepata maendeleo katika uhuru wa fikra zake...Licha ya mchina kuabudu ngozi nyeupe (dalili dhahiri ya utumwa wa kifikra)...wala haiitajiki kwenda mbali wachina raia wananchi wanaikubali sana vibe ya kikorea....korea kusini ni taifa dogo lakini linainfluence kubwa sana kifikra kwa wachina wananchi....funguka macho ndugu na wewe pia ni binadamu suala la uhuru si la kiitikadi ni basic instinct ya ubinadamu.

Unless you dont have tht basic desire to be respected and to be dignified...u just wish to stay in tht perpertual state of inferiority and as an African the humiliation.....(which makes you something else but a human being) endelea tuu kudanganyika na skyscrapers.

Jaribu usome kidogo hii labda utafunguka kidogo

The Cultural Revolution: all you need to know about China's political convulsion
Kwa Hiyo unataka kusema maendeleo ya China ni haramu. Au mbinu walizotumia sio za haki , sasa je maendeleo ya USA, Uingereza, ujerumani , Spain , Portugal etc ambao unashobokea demokrasia Yao ni ya haki??? Je tafakari
 
Sass wasio taka nilinganishe china na Tanzania, Mbona hao hao wanataka tujenge demokrasia sawa na USA au uingereza?? Kuhusu china kufanya kazi mpaka kufia kazini nk , je Hiyo inatofauti gani na mambo wakati wa utume a au ukoloni?? Wa nchi za magharibi dhidi yetu au Watu weusi na sasa tunataka kuwa Kama wao bila kufanya kazi??? Kazi , juhudi na nidhamu Ndio msingi wa maendeleo , ukiwa na Hiyo demokrasia inayo kuruhusu wewe kudandia vya wengine kisa demokrasia hayo maendeleo yatakuwa ni ndoto. Sasa hivi Huko ulaya vyama vingi vya wafanyakazi vinafifia, ukigoma unakatwa hela ya siku husika , mwisho wa mwezi bill zako ziko pale pale , hivyo kinacho takiwa hapo ni uzalishaji hizo haki zako kazifanyie nyumbani kwako au at your own cost
 
yani ukisikia kuwa Tanzania kuna watu wasiojielewa ndio huyu mtoa mada hivi utalazimishaje vitabu vya hesabu za makanisa viwe vizuri ilihali makanisa hayalipi kodi? wala kupokea fedha yyte kutoka serikali?
 
Mmezoea matusi! Inaonesha aina ya watu tulio nao humu. Utawala bora ni pamoja na usimamizi. Kiongozi anaswing katika pendulum ama continuum kulingana na aina ya kundi analoliongoza na majukumu yaliyopo. Ni baina ya Task Orientation na People Orientation. Inategemea mrengo wa watu ama mrengo wa majukumu.

Awamu ya kwanza ili kustawisha nchi ililerenga Watu. Awamu ya pili vivyo hivyo. Awamu ya tatu ilirenga Majukumu na Awamu ya nne ilirenga watu. Hiyo mirengo ilitegemea mazingira ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ya taifa na wananchi wake.

Kiongozi aliyeingia madarakani aliutengeneza uongozi wake kulingana na hali zilizokuwepo kama nilivyoainisha.

Ukiwapitia hao wote na mazingira ya nchi yalivyokuwa utaniunga mkono. Kila moja wao kwa aina yake ya uongozi aliifikisha nchi mahali fulani na tunawashukuru.

Ukiuliza wananchi kila moja wao ameacha kumbukumbu njema. Madhaifu ya kila mmoja tunakumbuka lakini zaidi sana mafanikio waliyotuletea.

Tulimwita Nyerere Mwalimu, Mwinyi tulimwita Mzee Ruhksa, Mkapa wengine walisema alikuwa "strong leader." Kikwete tulisema ni mpole hata aliposhambuliwa na yule jirani kwa maneno watanzania wengi tulisimama pamoja naye. Tulimpenda kama tulivyowapenda wote Mwalimu, Mwinyi na Mkapa.

Umesema juu ya Rwanda niseme nami Rwanda kwa sasa wamepata mtu sahihi kulingana na mahitaji yao na mazingira yao ya kijamii. Ongea na Wanyaruanda wenyewe hata Wafanyabiashara watakueleza wanavyomfurahia. Ni strong leader.

China pasipo kuwa na strong leader wangesambaratika.Watu wangeendelea kujenga majengo mabovu, kuuza maziwa ya watoto yenye sumu na mengineyo. Lee Kuan Yew aliijenga Singapore kwa sababu alikuwa strong leader. Trujilo alihifadhi Dominica kuwa bora kuliko majirani wake kwa sababu alikuwa ni strong leader.

Naye Sulemani mfalme alijenga Hekalu kwa sababu alikuwa ni Strong keader. Aliwaongoza Israel kufanya ile kazi ingawa walihenya sana. Yeye mrengo wake ulikuwa ni jukumu lililopo mbele yake. Pamoja na mzigo wake Sulemani hakupungukiwa na Diplomasia na kuwa na marafiki wengi duniani. Akaifanya Israel kuwa tajiri sana. Lakini kwake ilikuwa "hapa ni kujenga tu." Akawa na uhusiano mzuri na jirani yake Hiramu mfalme wa Tiro walishirikiana kujenga like Hekalu ( Mradi mkubwa sana karne ile ya 10 kabla ya Yesu.)

Kwa mtazamo wangu JPM kwa sasa ni "Task Oriented." Hatuna maana ameegemea mrengo wa Jukumu tu! Hapana tumeona sana matukio ya kujali watu pia. Mengi tu.

Hakuna maendeleo bila usimamizi thabiti wa kazi na Sheria. China wametumia hiyo, Singapore (tema big G mjoni kati uone).

Tanzania kwa awamu hii tulihitaji kiongozi atakayeamsha hisia za Watanzania kwa utawala wa sheria. Kulipa kodi, kuheshimu na kufanya kazi. Anaendeleza jitihada za watangulizi wake. Yeye ni strong leader (kiongozi mtekelezaji) kama wengi walioleta maendeleo kwa nchi zao. Tunapopaza na sisi sauti zetu kumfurahia JPM msizizime.

Pasipo kuwa jasiri na mvhapa kazi Mfalme Sulemani wa Israel asingelijenga hekalu.
Unataka kutuambia magufuli ni weak?, you are no serious. Kagame asingekuwa nanwapinzani nchini kwake maana anayetokeza kichwa anafyekwa on the spot. Rais wetu anaenda vizuri sana . Na ninawambia historia itawasuta nyie watu just give us a time. Kagame mwenyewe anamkubali magufuli kwa asilimia mia na moja
 
Kuna vitu vya kijinga sana...Unapo isema China soma vizuri Historia ya China...PEASANT REVOLUTION & CULTURAL REVOLUTION etc mleta umeishia darasa la ngapi sijui
 
Back
Top Bottom