Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

Unataka kutuambia magufuli ni weak?, you are no serious. Kagame asingekuwa nanwapinzani nchini kwake maana anayetokeza kichwa anafyekwa on the spot. Rais wetu anaenda vizuri sana . Na ninawambia historia itawasuta nyie watu just give us a time. Kagame mwenyewe anamkubali magufuli kwa asilimia mia na moja

Wengine waliosoma majibu yangu kwa maoni yako wataona nimesema bila kumungunya maneno kuwa JPM ni kiongozi mtekelezaji (results oriented) ambaye anamix Task orientation na people orientation ambayo inacheza kulingana na mahitaji. Hivyo ni strong leader nimesema hayo tayari. Tafsiri zako zingine ni zako.
 
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''

Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?

Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.

Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.

Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.

Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.

Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Hata Uganda Mseveni amekaa madarakani zaidi ya miongo mitatu na kule Zimbabwe alikadharila...je waliendelea? Mnachoshindwa kukiona ni kuwa CCM imebadilika kwa sababu ya msukumo wa vyama vingi. Hii ndiyo imetufanya tuone haya mabadiliko chanya. Penye ushindani kuna maendeleo. Ya China ni tofauti sana.
 
n
Unachanganya au hujaelewa maana ya kuchanganya dini na siasa...kazi ya maaskofu na wachungaji ni kukemea maovu iwe kwa mwana siasa,mtoa tiba au hata raia wa kawaida..inashangaza sana kwa msomi kufikiria maovu yanayokemewa ni yale yanayotendwa na kikundi fulani cha jamii na kuacha kikundi kingine.Hoja nyingine ni dhaifu sana kuwa hawa wachungaji wanajihusisha na ufisadi..nafikiri wale walioguswa na ule waraka walitakiwa kwanza wa ujibu kwa hoja,wathibitishe kwa hoja kuwa walichokisema ni uongo.Nafikiri tuna hitaji kudebate maana ya kuchanganya dini na siasa inamaanisha nn!
Huko USA kwenye Hiyo demokrasia na katiba bora hakuna viongozi wa Dini ? Mbona hawamkemei Trump ??? Na maovu mengineyo
 
Hata Uganda Mseveni amekaa madarakani zaidi ya miongo mitatu na kule Zimbabwe alikadharila...je waliendelea? Mnachoshindwa kukiona ni kuwa CCM imebadilika kwa sababu ya msukumo wa vyama vingi. Hii ndiyo imetufanya tuone haya mabadiliko chanya. Penye ushindani kuna maendeleo. Ya China ni tofauti sana.
Kwani hapa tuneongelea JPM kukaa zaidi ya 10 years???? Mbona mnaongea au kuandika kisicho ???? Na Huko kwenye vyamakukoje kwenye kubadili uongozi ???
 
Huko USA kwenye Hiyo demokrasia na katiba bora hakuna viongozi wa Dini ? Mbona hawamkemei Trump ??? Na maovu mengineyo
Trump hana mambo ya kipuuzi na kishamba ya kuzuia watu kuongea,hujasikia wanavyomchana...acha kulinganisha Trump na watu ambao si saizi yake
 
Kuna vitu vya kijinga sana...Unapo isema China soma vizuri Historia ya China...PEASANT REVOLUTION & CULTURAL REVOLUTION etc mleta umeishia darasa la ngapi sijui
Inaelekea wewe umesoma saana na uelewa wako ni mkubwa ni kweli china walifanya dhambi kubwa saana kwenye Hiyo peasant and culture revolution , ni vizuri wange fuata primitive capital accumulation Kama walivyo fanya nchi za ulaya ndani ya makoloni Yao , Maana Ndio kitu unacho kishobokea. Sasa sisi Sijui tuta mtawala Nani ili tuweze kupiga hayo maendeleo Kama wao .
 
Trump hana mambo ya kipuuzi na kishamba ya kuzuia watu kuongea,hujasikia wanavyomchana...acha kulinganisha Trump na watu ambao si saizi yake
Kwa Hiyo unataka bongo iwe Kama USA kwa kipindi cha miaka mitano au kumi???
 
China ni pamoja na kunyonga, uwa wanao kupinga sana.... jiulize ungekuwa no wewe upande wa wanao pinga.... mbona tunawez pata maendelea kwa kuheshimiana tu kwa katiba bora kama Taiwan, singapore.....
 
kwa ulewa wako ww kuruhusu watu kuongea na kutoa maoni yao kunachukua karne 20?
Tuna changamoto tuseme mbili ya uzalishaji na quality of service on one side na ya Hiyo democracy unayoikimbilia lakini huiishi hata nyumbani kwako au ktk Chama chako. Sasa hapa utapigia upatu Hiyo democracy au uzalishaji na quality of service ??? Ustaarabu wa kupanda daladala au mwendokasi kwa foleni haupo, ustaarabu wa kufuata mipango miji haupo, mfumo wa kukusanya kodi bado haujawafikia Watu wengi lakini wewe unaona the so called democracy Ndio priority . Basi muanze kwa kupitisha uchaguzi kwenye vyama /saccos zenu .
 
yani ukisikia kuwa Tanzania kuna watu wasiojielewa ndio huyu mtoa mada hivi utalazimishaje vitabu vya hesabu za makanisa viwe vizuri ilihali makanisa hayalipi kodi? wala kupokea fedha yyte kutoka serikali?
Wewe Ndio usiojielewa na kuelewa concept ya check and balances na uwepo wa registrar wa NGO , Makanisa, vyama vya ushirika na majukumu Yao kwa society , Ndio Maana hivi karibuni ukiona ya kanisa moja kufuatilia na TRA na ku kukuta hela za sadaka zinafanyiwa biashara
 
Tuna changamoto tuseme mbili ya uzalishaji na quality of service on one side na ya Hiyo democracy unayoikimbilia lakini huiishi hata nyumbani kwako au ktk Chama chako. Sasa hapa utapigia upatu Hiyo democracy au uzalishaji na quality of service ??? Ustaarabu wa kupanda daladala au mwendokasi kwa foleni haupo, ustaarabu wa kufuata mipango miji haupo, mfumo wa kukusanya kodi bado haujawafikia Watu wengi lakini wewe unaona the so called democracy Ndio priority . Basi muanze kwa kupitisha uchaguzi kwenye vyama /saccos zenu .
sasa mbona serikali za chama chenu kimeshindwa kuyafanya hayo yote kipindi chote hiki..tatizo unalijua halafu hutaki kukiri nani chanzo...wekeni demokrasoa ili kila mtu awe na na nafasi sawa ya kuchaguliwa,punguzeni kuimba ngonjera
 
Kwani hapa tuneongelea JPM kukaa zaidi ya 10 years???? Mbona mnaongea au kuandika kisicho ???? Na Huko kwenye vyamakukoje kwenye kubadili uongozi ???
Soma ulichokiandika ikiwa hayo niliyosema hukuyataja. Sijui kama kwrnye andiko langu nimezungumzia habari ya JPM kukaa zaidi ya 20 years!
 
Kama wapo na katiba inayojitosheleza....kwann wahitaji mpya.
 
Ndio walibadilisha alipoingia Mao wakaweka vifungu vigumu kwa waharibu uchumi.
 
Hatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Ni awamu ipi watanzania hawakulalamika na wote waliunga mkono serikali?
 
Kwa akili yako unajua china hawabadili katiba juzi pia wamemwongezea mtu aongoze milele.
 
Ni awamu ipi watanzania hawakulalamika na wote waliunga mkono serikali?

Wayaseme wanayoyaona yamepungua lakini waangalie "taswira pana" ya dira ya uongozi uliopo madarakani na waunge mkono ikiwa ina dhamira njema. Kulalamika sio kupinga. Tunachokiona sasa ni upinzani usiokubali hata mazuri yaliyofanywa na Awamu ya 5.
 
..shida ya watawala wa sasa tz ni kuwa hata hii katiba mpya iliyopo haifuatwi.....katiba ya sasa ya tz unampa madaraka makubwa rais....na akitokea rais wa hovyo na asiye na busara anaweza kuitumia vibaya...ndicho kinachotokea sasa.....hitaji la katiba Mpya tz ni ili kukwepa uwezekano kama uliopo sasa wa rais kuitumia vubaya katiba....

...China wana katiba yao....ya chama kimoja...lakini tofauti yao ni kuwa wao viongozi wao wanapigania kujenga nchi yao na wanaifata katiba....hawana unafiki kama tunaoona kwa viongozi wetu....wachina huwezi kuwafananisha na tz..,,maana wao wana discipline na uzalendo wa kweli kwa yale wanayosimamia na kupanga.....
 
Back
Top Bottom