Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

Mataifa makubwa yote duniani hasa yenye maendeleo makubwa kama marekani, uingereza China, frence Russia n.k ni mataifa yaliyoendelea kwanza ndio yakaleta kitu kinaitwa democracy

Kihistoria maendeleo yanaaza kwanza ndio ustarabu unafuata ndio msingi wa maendeleo

Ila mataifa haya makubwa yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutuaminisha kuwa ili uweze kuendelea lazima uwe na democracy kitu ambacho wao hawakuwa nacho mpaka walipoendelea.

Dini haijawahi kuleta maendeleo katika nchi maana ulaya ilikuwa chini ya Roma mpaka mapinduzi yalipotokea walipinduliwa na wafanyabiashara wakubwa ndipo tunapoaaza kuzungumzia maendeleo ya nchi hizio.

Watanzania hatuelewi nini tunataka.
 
kwanini unazungumzia dhamira njema ya wananchi na huzungumzii dhamira njema ya serikali? naona uko too much emotional hta hatari iliyoko mbele yetu huioni!.Mi ntakupa mfano hai wa hii katiba itakavyotugharimu huko mbele....Tume ya uchaguzi haipo huru inafanya kazi kwa maelekezo, kwa hyo fairness hakuna na serikali iliyopo madarakani inatumia hyo advantage ya mapungufu hyo ya katiba kukandamiza wapinzani sasa siku wapinzani wakisema "sasa basi". Amani yetu itakuwa mashakani na amani ikiwa mashakani ina maana maendeleo yetu yatakuwa mashakani pia na hpa ndyo unapopata muunganiko wa katiba bora na maendeleo....nimekupa mfano wa kipengele kimoja tu cha kwenye katiba kinachoweza kutuletea maafa siku moja wenzetu kenya ilichukua roho za watu 1000 ili kupata katiba ambayo ipo fair kwa kila upande

Nimejikita kwenye dhamira njema ya wananchi kwa sababu ndio kiini cha mjadala. Wananchi wanadai uongozi bora kupitia katiba mpya. Siongelei falsafa nzima ya uongozi bora na katiba. Zaidi nilikuwa najibu hoja husika. Sitoi mhadhara ili niguse mote humo juu ya "Uongozi Bora na Katiba: Dhamira ya Wananchi dhidi ya Dhamira ya Dola."
 
1. Je wananchi wanahitaji tume guru? Je tume huru inamsaada gani kwa wananchi wa kawaida?

2. Je kwa ujumla bila kujali itikadi zetu watanzania nini tunahitaji?

3. Na nini msimamo wa serikali juu ya mahitaji ya wananchi?

4. Mikutano ya hadhara, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi. Je haya ndio mahitaji ya wananchi?
 
Nimejikita kwenye dhamira njema ya wananchi kwa sababu ndio kiini cha mjadala. Wananchi wanadai uongozi bora kupitia katiba mpya. Siongelei falsafa nzima ya uongozi bora na katiba. Zaidi nilikuwa najibu hoja husika. Sitoi mhadhara ili niguse mote humo juu ya "Uongozi Bora na Katiba: Dhamira ya Wananchi dhidi ya Dhamira ya Dola."
hicho usichotaka kukiongelea na unakiongelea huoni km vinategemeana kwa kiasi kikubwa, ni km ilivyo miguu huwez kutembelea mguu mmoja
 
Mkuu inawezekana wewe ni mnufaika wa serikali hii.

Kubwa moja linalofanya watu wadai katiba mpya ni serikali ya sasa kutoheshimu katiba yenyewe na kungilia mihimili mingine.
Mfano: mradi wa umeme wa Stiglers ambapo serikali ingeweza kupanga na kuipeleka hoja bungeni wapewe budget. Badala yake imekaa yenyewe na kujipangia budget kinyume cha sheria na kuanza utekelezaji.

Hivyo namna ya kumwajibisha kiongozi mkuu kuna figisu ndio maana tunataka katiba mpya yenye kuweka mipaka ya taasisi zote za umma na adhabu pale mamlaka moja inapoingia ingine sio mpaka bunge.
 
1. Je wananchi wanahitaji tume guru? Je tume huru inamsaada gani kwa wananchi wa kawaida?

tume huru ina msaada mkubwa kwa mwananchi wa kawaida coz atamchagua kiongozi anaemuona atafaa kutatua kero zake na sio kuchaguliwa kiongozi na kikundi cha watu

2. Je kwa ujumla bila kujali itikadi zetu watanzania nini tuna hit an I?

watanzania tunahitaji maendeleo na maendeleo na maendeleo yanaletwa na viongozi bora tuliowachagua na sio kuchaguliwa
.

3. Na nini msimamo wa serikali juu ya mahitaji ya wananchi?

msimamo wa serikali so far ni kujikita kwenye miradi mikubwa huku mahitaji km afya elimu na huduma za maji zikipumulia mashine

4. Mikutano ya hadhara, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi. Je haya ndio mahitaji ya wananchi?
jibu hpo ni katiba mpya ndyo inabeba hyo mengine uliyoyataja na kikubwa zaidi ni kuwa na katiba inayomuongoza rais na sio katiba inayoongozwa na rais.....all in all katiba mpya inahitajika na umuhimu unazidi kuongezeka siku hadi siku
 
Huku ni kufilisika kifikra kwa kiwango kisichoelezeka, Hivi Unajua gharama ya maendeleo bila uhuru kweli wewe....?Unataka theluthi ya watanzania watolewe kafara ili magorofa yajengwe alafu bado wabaki kwenye magereza ya kifikra....magereza ya kihuni kuliko unavyoweza kufikiri...kafara ya maisha milioni 30 unazani hio inawaacha wachina salama mpk leo pamoja na maendeleo superficial (skyscrapers ndo zinakudanganya?) walio nayo yatokanayo na utegemezi wa kifikra na wizi wizi wa kimawazo mpk kesho.

Kwa sababu ya kuzima uhuru wa kifikra mpaka kesho na kesho kutwa hata mchina aendelee kiasi gani anajua kua kifikra ni mdhaifu kuliko mtu yeyote aliepata maendeleo katika uhuru wa fikra zake...Licha ya mchina kuabudu ngozi nyeupe (dalili dhahiri ya utumwa wa kifikra)...wala haiitajiki kwenda mbali wachina raia wananchi wanaikubali sana vibe ya kikorea....korea kusini ni taifa dogo lakini linainfluence kubwa sana kifikra kwa wachina wananchi....funguka macho ndugu na wewe pia ni binadamu suala la uhuru si la kiitikadi ni basic instinct ya ubinadamu.

Unless you dont have tht basic desire to be respected and to be dignified...u just wish to stay in tht perpertual state of inferiority and as an African the humiliation.....(which makes you something else but a human being) endelea tuu kudanganyika na skyscrapers.

Jaribu usome kidogo hii labda utafunguka kidogo

The Cultural Revolution: all you need to know about China's political convulsion
Angalia hitaji au mahitaji ya taifa lako na si had as za nchi za magharibi. Mfano kuna catalunya walitaka kujitenga lakini maoni yao yalipingwa, nenda North Ireland ku jitenga na Uiengereza Mbona haitishi kura ya maoni. Kuna state au jimbo USA lingependa ku jitenga la wameshindwa kutekeleza.
Hitaji la watanzania ni la uchumi ulio shikwa kwa kiasi kikubwa kiwe kume shikwa na watanzia, Ndio Huru tunaotaka. By the way democrasia kwenye 'Saccos' zetu vipi
 
Acha Siasa kwenye mambo ya utu ndugu....utu ukithaminiwa maendeleo ni matokeo...na yanaakisi thamani ya utu....wachana na habari za kujenga vibanda...ukijenga utu na fikra mtu atajenga nyumba otherwise ni kujenga vibanda na mazizi watakamoishi mbuzi na kuku na sio watu....!
 
Mataifa makubwa yote duniani hasa yenye maendeleo makubwa kama marekani, uingereza China, frence Russia n.k ni mataifa yaliyoendelea kwanza ndio yakaleta kitu kinaitwa democracy

Kihistoria maendeleo yanaaza kwanza ndio ustarabu unafuata ndio msingi wa maendeleo

Ila mataifa haya makubwa yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutuaminisha kuwa ili uweze kuendelea lazima uwe na democracy kitu ambacho wao hawakuwa nacho mpaka walipoendelea.

Dini haijawahi kuleta maendeleo katika nchi maana ulaya ilikuwa chini ya Roma mpaka mapinduzi yalipotokea walipinduliwa na wafanyabiashara wakubwa ndipo tunapoaaza kuzungumzia maendeleo ya nchi hizio.

Watanzania hatuelewi nini tunataka.
Fikra potofu.....
 
Africa wenye Mawazo Mazuri hawachaguliwi Tunawachagua watu ambao hawana Mawazo Mazuri ya kulijenga na kuliunganisha Taifa Msikilize Prof. Lumumba
 
Attachments

Sasa tume huru itaniletea elimu, itaniletea chakula kwangu, italeta technologies nchini, italeta itajenga miundombinu mizuli, italeta madawa ya kilimo kwa wananchi, naungana na mchangiaji kua cha msingi ni dhamira ya kweli kwa uongozi uliopo sehem husika sio katiba wala demokrasia, wengi wanaotetea demokrasia wanatetea maslahi yao yameminywa, demokrasia yenyew hata hawajui kuitumia kazi ni kupinga kila kitu bila kuja na majibu mbadala, kuandamana mabarabarani hovyo bila ya sababu ya msingi, Mimi kama Mimi naomba tuendeshwe kwa dhamira ya serikali baada ya kuipima na kuilewa kua INA dhamila ya kweli katika kuleta maendeleo? Sio kuiga mambo ambayo sio utamaduni wetu, sisi waafrika tumezoea mjaledi ili mambo yasonge, hivyo jpm anachokifanya ni sahihi kabisa tumuunge mkono atatufikisha sehem sahii
 
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''

Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?

Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.

Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.

Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.

Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.

Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Wee mzima kweli unalinganisha taifa liliopo zaidi ya miaka elfu tano china na Tanganyika yenye historia hisiyo dhidi miaka 400 ya ujima !!??
 
Strong institutions (ikiwemo katiba nzuri iliyotenganisha miamala, ) ni ya muhimu kwa ujenzi wa maendeleo ya kizazi kijacho.
 
Akili kubwa..... ila sijui kama watakuelewa watasema umenunuliwa au umehongwa.
 
Kwani hakuwepo kwenye baraza la mawaziri wakati nchi inateketea???
 
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''

Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?

Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.

Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.

Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.

Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.

Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
maendeleoya china yameletwa na culture ya kupenda kufannyakzi kwa juhudi na maarifa
 
Katika nchi zote hizo ulizozitaja hapo juu ukiondoa Urusi tu, maendeleo nchini mwao yalikuja kutokana na uzalishaji na usimamizi wa dhati uliolenga maendeleo kwenye nchi husika. China wao had a platform since enzi za Mao, baba wa ukomunist. Waliboresha misingi ya utendaji wao, wananchi wakaunga mkono mfumo huo na kuwa mstari mmoja na serikali na ndiyo maana unapo ongelea suala la ukomunist duniani, only China stands out as an example na wame succeed. Dunia (Westerners) iliicheka sana China kwa mikakati na msimamo wake lakini wao China walijuwa mwisho wa siku watacheka wao na ndivyo ilivyo hivi sasa. Katiba si issue sana katika maendeleo ila inapobidi inabidi ibadilishwe na ndiyo maana hata mimi binafsi naunga mkono watanzania wenzangu wanao omba katiba mpya ya kunyongwa Marais na viongozi wengine wanaoiba rasimali za nchi yetu kujinufaisha wao wenyewe na familia zao. Tukifanya hivi, hii nchi itakuwa na muelekeo mzuri tu kwa siku zijazo. Kumbuka, viongozi wetu ndiyo wanaozorotesha maendeleo hapa Afrika mpaka tunachekwa na wazungu na kuzidi kuibiwa kil kukicha.
 
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''

Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?

Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.

Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.

Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.

Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.

Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Wewe nani kakwambia china hawafuati katiba yao? Huku mbona hata hiyo ya zamani haifuatwi? Halafu unalinganishaje China na Tanzania? Elimu ya wachina unalinganisha na ya hapa ambayo mfumo hubadilika kila mwaka? Majungu na uvivu wako unajilinganisha na wachina? Mbona wachina wanakuja huku maskini na wanatajirika wakati sisi ni makelele tu na roho mbaya? Huku kazi fitna tu. Badala ya kukaa kama taifa tujadili mustakabali wa taifa, kikundi kidogo kinahodhi mamlaka na kutaka kulazimisha falsafa zao za kiuchumi hata kama hazina tija.
 
Back
Top Bottom