Hatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Katiba haileti maendeleo, lakini ni kwa namna gani Katiba mpya itazuia maendeleo unayoyaongelea? Ni kubadili tu maandishi na kupunguza nguvu kwenye taasisi moja na kuongeza kwenye taasisi nyingine. Labda sababu iwe si kipaumbele na haipo kwenye ilani ya chama tawala kwa sasa. Kama jinsi ambavyo Katiba haihusiki na kuleta maendeleo hivyo hivyo haizuii hayo maendeleo kuja. Maendeleo yanaletwa na Watz tena wa kawaida, Wachapakazi na Walipa Kodi. Katiba hata tukiibadili Watz Wachapakazi na Walipa kodi wataendelea kufanya majukumu yao kama kawaida.
Rwanda wameendelea?Hatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Jiwe [emoji23] [emoji15] mhhMay be yaliletwa na jiwe
uongozi gani boe=ra wa kumiminiana marisasi na kutekana?uongozi wa kishamba lazima upingwe kwa nguvu zote.Hatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Ndiyo, katiba mpya imewasaidia China kwenye maendeleo yao. Kwani maendeleo ya China yameanza kuwa recognized miaka ipi?Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?? Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
usilinganinshe China na Tanzania kwa sababu zifuatazo
1) China hakuna wajinga kama bongo
2) level ya maendeleo kijamii na kielimu ni tofauti kabisa
3)China hakuna dubwasha linaloitwa ccm
4) Katiba yao sio mbovu kama yenu vile vile raisi wao haamkia asubuhi na kutoa matamko au kukirupuka kwenda kujenga airport bush kwao
5)raisi hateui watu hovyo hovyo hasa wananchi wakionesha kutokumkubali mfano bashite wenu
Mengine waweza ongezea maana unayajua sema unaleta uhayawani
Hivi unaelewa kuwa hata wakati wa kukuwa kwa mtoto tumboni mwa mama yake, mfumo wa mwanzo mwanzo kabisa kuundwa ni ule wa "transport" (circulatory ystem).Kwaio maendeleo yataletwa na bombadier, fly over, wakati unasigina katiba iliyopo
Though sitaki kuamini,kweli hujui kuwa Tanzania tuna MTU anaitwa rais kwa kuwa katiba yetu ya 1977 inatoa cheo hicho? Sasa huyo kiongozi bora na siasa safi unavipataje kama hauna katiba bora? Jamani sometimes tufikirie na kutanda kama watu wenye akili
Mmm. Kwa aibu nitakujibu dada.Ukiona gari bovu na kila mtu anashuka, kama kuna anaelalamika basi ameacha mzigo wake mle.
Siasa safi za kuua watu na kuminya demokrasia, siasa safi za kuiba kura, siasa safi za kuweka makada kuanzia kwenye tume mpaka wasimamizi, siasa safi za kutwangwa risasi pale unapokosolewa, acheni hizo hizo, siasa safi kwa kuwapa upendeleo mtu hata darasa la 7 hujui kamaliza shule gani, wengine unawatimua, siasa safi fanyeni kitu kwa haki kama mtaona mtu akilalamika, kuna mengi tu ya kusema ambayo yanaleta hasira, halafu yoote hayo hamyaoni, nitaomba yawakute ndio ujue hizi ni siasa safiHatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Ninachosema mimi ni kuwa inatangulia dhamira ya utawala na uongozi bora ndipo katiba inatengenezwa sio kudai tu katiba mpya pasipo kujua kwa hakika nini unahitaji katika katiba hiyo. Katiba peke yake haikamilishi utawala bora. Yapo mambo mengi ikiwemo dhamira njema ya wananchi. Kama wananchi watauchukia uongozi kwa kuuchukia tu hata wasione mazuri ya uongozi huo hata katiba ya aina gani ije wataipinga tu. Tumeyaona hayo katika nchi nyingi. Rwanda wananchi wake wameiona dhamira njema ya uongozi uliopo na wameungana na kuiunga mkono kwa nguvu na nchi inakwenda. Katiba iliyobadilishwa majuzi imetokana na dhamira ya wananchi. Tunaona nchi nyingi sana zinafuata mwelekeo huo. China wamefanya hilo na nchi nyingine. Dhamira njema ya watu inaweza kuleta katiba nzuri sana itakayolingana na matakwa yao. Tunadai katiba mpya, sawa lakini dhamira yetu sisi wananchi ni ipi? Kenya walidai katiba mpya wakaipata. Hata hiyo baada ya muda wameiona ina mapungufu makubwa na wameanza kufikiri kurekebisha maeneo fulani fulani. Hii inaleta swali katika dhamira waliokuwa nayo wakati wa kudai katiba mpya. Hiyo ndiyo maana yangu.usiolijua ni kwamba siasa bora na uongozi ulio bora unaletwa na katiba iliyo bora
Nitukane lakini kila mtu anakubali ya kuwa ukilinganisha Rwanda ya 1994 na ya sasa ipo tofauti kubwa sana ya kimaendeleo. Mengi yameandikwa juu ya maendeleo ya kiuchumi ya Rwanda na vyombo husika wewe nishambulie tu lakini huo ndio ukweli. Hawajafika mahala fulani lakini wanpiga hatua.Pimbi sana wewe!! Rwanda wameendelea?
Nimecheka sanaMmm. Kwa aibu nitakujibu dada.
Sasa wakati "mnaubutua wa miundi" (nadhani umenielewa) halafu gari bovu limetengemaa na linamipita, mtasemaje?
Mtalisimasha mpande au ndio basi tena, DUNIA SIMAMA NISHUKE?