mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 686
Ni kama vile hatuna sheria za kutulinda?! Wale wababaishaji na wapenda kupiga domo ndio wameshobokea..
Kukosa hoja tu..
Kukosa hoja tu..
hapa hatuzungumzii taassisi zinazoendeshwa na serikali wala NGO tunazungumzia kanisa kama kanisa,kanisa lina fungamana vipi na serikali mpaka likaguliwe hesabu zake? nijibu hapaWewe Ndio usiojielewa na kuelewa concept ya check and balances na uwepo wa registrar wa NGO , Makanisa, vyama vya ushirika na majukumu Yao kwa society , Ndio Maana hivi karibuni ukiona ya kanisa moja kufuatilia na TRA na ku kukuta hela za sadaka zinafanyiwa biashara
Kanisa ni Mali ya umma yaani waumini Kama ulivyo taasisi zingine Kama by ana vya ushirika nk , hivyo lazima uwezo utaratibu wa kuwaaminisha waumini kwamba michango yao inatumika Kwa manufaa ya kanisa Na si mtu binafsi au kikundi Cha waumini Kwa upendeleohapa hatuzungumzii taassisi zinazoendeshwa na serikali wala NGO tunazungumzia kanisa kama kanisa,kanisa lina fungamana vipi na serikali mpaka likaguliwe hesabu zake? nijibu hapa
Tatizo unataja tu nchi ambazo hata hujui ziko wapi Kimaendelo. CHINA ya Mao isingekaaa iendeleee hata kidogo kama Deng asingeleta mabadiliko.Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?
Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Unadhani kila dikteta anaweza kuleta maendeleo? Maendeleo ya China yanaletwa na vitu vingi ikiwemo ujuzi wa wananchi na kujituma katika kazi kwa watu. Serikali ilichukua jitihada za makusudi kuwekeza kwa watu kwa kuwapa elimu bora, kuweka mazingira bora ya uzalishaji,urahisi wa kupata mitaji kupitia benki, n.k. hayo ndiyo. Yaliyoleta maendeleo China. Hapa kwetu hata vipaumbele vya taifa havijulikani. Tunahitaji katiba mpya ili wananchi wawe na uwezo wa kuwajibisha viongozi wanapishindwa kutelekeza matakwa ya wananchi. Kwa sasa kile anachoamua Rais ndicho kinatekelezwa na kuweka pembeni mipango yote iliyokuwepo. Tulikuwa na " Big Results Now" badala ya kuboresha, imepigwa chini kabisa. Tulikuwa na "kilimo kwanza" nayo imekufa kifo cha mende. Sasa hivi haijulikani hata ni falsafa ipi inayotuongoza. Ni mambo ya " amri" tu. Katiba mpya ndiyo suluhisho.Wenzio Wachina walishaamua karibia miongo mitatu iliyopita kuhusu taifa lao liendeshweje kiuchumi. Kiongozi anayekuja anajua cha kufanya bila hata kuangalia katiba.
Nikuulize Suala moja Mkuu , Katika hizo nchi ulizozitaja kuna nchi ambayo alishawahi kuishi au Angala kufika?Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?
Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Ukiwa ni muelewa utaona huko nyuma niliandika mabadiliko ya china vs ya Russia ya Gorbachev Na Glasnot Na Kama , ni fuatiliaji wa mambo unajua nchi hizo kisiasa Na kiuchumi zipo wapi Na changamoto zake iwe kisiasa au kiuchumi.Tatizo unataja tu nchi ambazo hata hujui ziko wapi Kimaendelo. CHINA ya Mao isingekaaa iendeleee hata kidogo kama Deng asingeleta mabadiliko.
Swali simple kwako ni kwamba maendeleo yanaletwa kupitia uzalishaji au demokrasia ???Nikuulize Suala moja Mkuu , Katika hizo nchi ulizozitaja kuna nchi ambayo alishawahi kuishi au Angala kufika?
Kuna vitu viwili ambavyo unatakiwa uvitofautishe
Nchi kuwa Tajiri na Maendeleo
Urusi ni Katika Nchi Tajiri duniani hata kushinda Ujerumani, Lakini maendeleo ni kitu chengine na Utajiri wake ni kitu kingine. Sisemi kwa kuhadithiwa, mimi mwenyewe nieshi urusi naijua vilivyo. Mpaka hii Leo kuna sehemu ambazo warusi wanakwenda chooni kwenye choo cha shimo. Maendele sio kuwa na Neuclear weapon. Kama maendeleo ni kuwa na jeshi lenye nguvu naweza kukubaliana na wewe.
Nchi ya Pili ni China, Inawezekana Serikali ya China ina mapesa mengi tu, lakini idadi kubwa ya Raia wake ni masikini wa kutupwa. Uliza wanaojua watakuambia.
Sasa tuje Ujerumani. Katika kitu ambacho kimeifanya Ujerumani iendele kama ilivyo sasa ni katiba yao, mfumo wao . Sibahatishi naeleza kwa kujua. Naishi ujerumani kwa Miaka 17 naielewa.
Ukitaka kufananisha usifananishe Chura na Tembo.
Sisi Tanzania taambiwa tujikaze kwa Maendele miaka 20 ijayo hatuwezi kuyafikia maendeleo waliyokuwa nayo wajerumani 1900- Rabda kwa simu za mikononi, lakini hilo sio kipimo cha maendeleo
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?
Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Tatizo Lenu munapotajiwa Ujerumani, munaunganisha moja kwa moja Hitler. Hamujui kuwa Enzi za Hitler wajerumani wengi walikuwa wahanga kama walivyo wahanga Watanzania wengi kwenye utawala huu wa awamu ya tano.Swali simple kwako ni kwamba maendeleo yanaletwa kupitia uzalishaji au demokrasia ???
Na hata ukitaka kutumia mfano wa China au Russia au ujerumani , hawakufika hapo Kwa sababu ya demokrasia. Ukianzia ujerumani , kulikuwa Na changamoto Za maisha zilizowafanya watu wake wagundue vitu vilivyo wawezesha kwenda Mbele Na juhudi hizo zikaunganishwa na sera Za serekali zao Na kwenda hatua ya kuvamia nchi zingine Na kwenda hatua ya kutawala nchi zingine.
Ukija Kwa china kabla ya mapinduzi ilikuwa ni ya kifalme au tuseme wenye nguvu ya kiuchumi ndio wenye kutawala , Na sio mambo ya demokrasia na urusi hivyo hivyo lakini Na wao kutokana Na changamoto zao walikuwa Na ugunduzi wao wa vitu vinavyo rahisisha au kukuza Juhudi zao Za kimaendeleo na uzalishaji. Na hata ukiangalia South Africa , hatua walizofikia si kutoka Na demokrasia Bali uzalishaji,