Aaa, umecheka? Asante.Nimecheka sana
Sidhani nimekwishabandika chochote kile humu kilichokupendeza.
Hongea wau.
Aaa, umecheka? Asante.Nimecheka sana
Mgosi nata kuona nyemiAaa, umecheka? Asante.
Sidhani nimekwishabandika chochote kile humu kilichokupendeza.
Hongea wau.
Na wewe pia dada.Mgosi nata kuona nyemi
Jumatatu njema
Kama kwenye Chama tunavyo mtegemea 'DJ' atulete mabadiliko ya demokrasia na uelewa wetu.Sawa leteni hayo maendeleo basi mpo madarakani over fifty years, bado nchi inategemea mawazo ya mtu mmoja.
Kuna documentary kuhusu uzazi wa mpango China unavyoleta matatizo hasa vijijini. Kila familia inataka mtoto wa kiume hii imesababisha uhaba wa wanawake wa kuoa.China maendeleo ni sababu ya idadi kubwa ya watu, hakuna sababu nyingine. Wangekua 50 million jamaa wangekua masikini tu. China ina masikini wengi kuliko bongo, nenda China ukashuhudie. Nchi ina watu zaidi ya bilioni its obvious lazima itakua na pesa nyingi maana work force ni kubwa mno, sawa na India, ni moja ya super powers sababu ya idadi kubwa ya watu ila wananchi wengi masikini, 1% tu ndiyo wanafaidika na uchumi walionao, wengine wote wanaishi maisha ya ovyo tu.
Kama vitu hivyo vipo kwenye vyama venu msingekuwa na viongozi wa maisha au ma 'Ayatollah '' wenu au Akina fulani tu Ndio viongozi wa kanisaSiasa safi za kuua watu na kuminya demokrasia, siasa safi za kuiba kura, siasa safi za kuweka makada kuanzia kwenye tume mpaka wasimamizi, siasa safi za kutwangwa risasi pale unapokosolewa, acheni hizo hizo, siasa safi kwa kuwapa upendeleo mtu hata darasa la 7 hujui kamaliza shule gani, wengine unawatimua, siasa safi fanyeni kitu kwa haki kama mtaona mtu akilalamika, kuna mengi tu ya kusema ambayo yanaleta hasira, halafu yoote hayo hamyaoni, nitaomba yawakute ndio ujue hizi ni siasa safi
It is true you should feel a shame of yourself for accepting your teacher to be a STD II leaver while u r in STD IIV.ukiwa kama mkongwe hapa JF nasema SHAME ON YOU
Si why did Russia failed , a part from starting with political reforms and the so called Glasnot , while china begun with economic reforms . Mpaka Leo hii Gorbachev anajuta kufuata HiyoGlasnost . Go to Singapore advocated by their forefather and then Malaysia which was ruled by Mahamit ??? For over 20 years and c what was the cornerstone of their development even India na Rushwa zao na ukwepaji kodiKuhusu ujumbe wa pasaka wa Maaskofu kama ulivyotolewa yeyote anayeupinga aupinge kwa hoja na kuonyesha kuwa yaliyosemwa na viongozi hawa ni uongo. Kuujibu waraka kwa propaganda ni kuwakosea Maaskofu.
Kuhusu Maendeleo ya China, Urusi, nk viz-a-viz Katiba Mpya na Vyama vingi; soma history ya Global Economics kwasababu sera za kiuchumi za Nchi yoyote duniani huweza kuathiri Nchi nyingine yoyote either positively or negatively. Inategemeana na Nchi husika inajiandaaje kufaidika na loop hole yoyote inayotokezea duniani. China was able to utilize each and every chance/opportunity happened at its disposal. And right now, it is not slumbering. That's why akina Trump wanatunga high tariffs against aluminium and steel imports from China. Kwahiyo ndugu yangu hata huko nyuma tulikuwa na viwanda lakini watu kutokutii katiba viwanda hivyo vikafa. Nadhani wafahamu vyema hilo. Kwahiyo hoja ya maaskofu bado ni valid kuwa [HASHTAG]#KatibaMpya[/HASHTAG] hasa ya maoni ya wananchi yapaswa kurejeshwa ili kuliwezesha taifa kuwa na maendeleo endelevu.
[HASHTAG]#KiongoziMzalendoSiyoMbadalaWaKatibaMpya[/HASHTAG].
Kwa Hiyo tufuate katiba ipi?? Ya CUF Seif, ya CDM DJ, Ya ACT , ya CCM, Ya USA ya kuta Gun Controll Kama Obam alivyo pendekezo au ya Trump kwamba tuwaachie tu Watu wa fuate utashi wao au hii ya Donald Trump ya American first wakati sisi na kutokujielewa kwetu kuachia kila kitu na kufikiria maendeleo yanakuja tu. Bila kujenga super structure za uchumi kwanza. Ndio democracy utaweza kuiendeleza vizuri .Ndiyo, katiba mpya imewasaidia China kwenye maendeleo yao. Kwani maendeleo ya China yameanza kuwa recognized miaka ipi?
Kuanzia mwaka 1911, wachina wamekuwa wakibadili katiba ama kuifanyia amendments(recently mwaka huu 2018)
Hadi sasa, wameshafanya hivyo mara 12. Mwaka wa 1954, ndipo wali adapt constitution ya kwanza ya “People’s Republic of China”, ambayo ndiyo iliwapeleka officially kwenye mfumo wa communism.
Kwa maana nyingine, hii ni katiba ya 12 kwa wachina toka mwaka 1911.
Mkuu usijiunge kwenye propaganda na kuazisha threads nyepesi nyepesi...njoo na facts.
Kulemba ama ni Kuremba? Wanaume wa dar bhana.Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?? Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Mkuu Hii Katiba ni ya miaka mingi sana, kwa namna moja au nyingine irekebishwe kuendana na mazingira ya sasa.chief kuna mahusiano makubwa kati ya katiba bora na maendeleo!. Marekani ndyo taifa tajiri duniani lkn ukiangalia siri ya mafanikio yao, utagundua ubora wa katiba yao umechangia pakubwa . katiba inayosisitiza nchi kwanza hlf maslahi ya mtu mmoja mmoja ndyo yanafuata sio huku bongo rais kapewa madaraka makubwa mpk anaamua kujenga airport kwao ambayo ni useless huku wanafunzi wanasomea nje kwa kukosa madarasa
Wewe huoni kuwa hizo GDP ni Eurocentric, na ziliwekwa kwa manufaa ya nchi husika?Mnavyosema China China wanamaendeleo zaidi ya Nani nenda kaangalie per capital yao uone Mchina mmoja ana kiasi gani kwa mwaka. Je wamezidi ujerumani, japan, korea, US, Canada au hata nchi yeyote ya Europe hapana na per capital ni ndogo kuliko Botswana!.
Vilevile jiulize kwanini wa China wanakimbilia US, Canada na mpaka Africa kama kwao poa mbona US hawakimbilii China.
Nchi zote kubwa zenye maendeleo demokrasia ni muhimu sana kwasabau inasababisha watu kuwa wabunufi. Japan, Korea, Jerumani mbona wanaendelea kwasababu gani..... ubunifi wa teknologia na jiulize utapaje ubunifi kama hakuna haki.
China ni mzuri kwa ku copy na Trump anamkabili kwa kuiba technologia wakati wana watu 1.3B kwasababu usikokuwa huru huwezi kuwa mbunifi. .
Utajiri wa wenzetu siku hizi ni technologia kampuni kubwa kuliko zote duniani sio Coca cola wala kampuni za magari au ndege ni kampini ya simu apple.
bila katiba kuweka mifumo mizuri ya kupata viongozi bora hayo maendeleo yatakuja vipi?Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?? Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.
Ukija kwenye vyama vya siasa hadithi ni Hiyo Hiyo wakati wao wenyewe demokrasia wanayo ipigia kelele hawaienzi.
Ukija kwenye Suala la Maendeleo mfano china na mabadiliko Yao ya kiuchumi tunaona wame weza kufanya hivyo bila vyama vingi Bali kwa kuimarisha mifumo Yao ya kiutendaji wakati urusi walikwenda na Glasnot matokeo yake sote tunayajua Gorbachev akakosa nchi na Yeltsin na ulevi wake Ndio aka tawala nchi , matokeo yake nchi ilipojitambua wakamleta Putin ambaye Yupo madarakani kwa miongo miwili sasa.
Ukija hizo nchi za ulaya iwe Germany ya Hitler na wengineo tuangalie walivyo piga hatua za maendeleo ilikuwa kwa sababu ya katiba mpya au demokrasia au lilikuwa ni suala la uzalishaji na usimamiaji wa itikadi inayolenga ktk maendeleo.
Mimi nionavyo tupate maendeleo kwanza Ndio tutaweza kuweka hizo rangi zingine kulemba maendeleo yetu na sio kulemba kitu ambacho hatuna.
Kwa Hiyo nchi zilizoendelea zilianzia na Katiba au uzalishaji?we kiazi, bila katiba kuweka mifumo mizuri ya kupata viongozi bora hayo maendeleo yatakuja vipi?
Ninachosema mimi ni kuwa inatangulia dhamira ya utawala na uongozi bora ndipo katiba inatengenezwa sio kudai tu katiba mpya pasipo kujua kwa hakika nini unahitaji katika katiba hiyo. Katiba peke yake haikamilishi utawala bora. Yapo mambo mengi ikiwemo dhamira njema ya wananchi. Kama wananchi watauchukia uongozi kwa kuuchukia tu hata wasione mazuri ya uongozi huo hata katiba ya aina gani ije wataipinga tu. Tumeyaona hayo katika nchi nyingi. Rwanda wananchi wake wameiona dhamira njema ya uongozi uliopo na wameungana na kuiunga mkono kwa nguvu na nchi inakwenda. Katiba iliyobadilishwa majuzi imetokana na dhamira ya wananchi. Tunaona nchi nyingi sana zinafuata mwelekeo huo. China wamefanya hilo na nchi nyingine. Dhamira njema ya watu inaweza kuleta katiba nzuri sana itakayolingana na matakwa yao. Tunadai katiba mpya, sawa lakini dhamira yetu sisi wananchi ni ipi? Kenya walidai katiba mpya wakaipata. Hata hiyo baada ya muda wameiona ina mapungufu makubwa na wameanza kufikiri kurekebisha maeneo fulani fulani. Hii inaleta swali katika dhamira waliokuwa nayo wakati wa kudai katiba mpya. Hiyo ndiyo maana yangu.
Huku ni kufilisika kifikra kwa kiwango kisichoelezeka, Hivi Unajua gharama ya maendeleo bila uhuru kweli wewe....?Unataka theluthi ya watanzania watolewe kafara ili magorofa yajengwe alafu bado wabaki kwenye magereza ya kifikra....magereza ya kihuni kuliko unavyoweza kufikiri...kafara ya maisha milioni 30 unazani hio inawaacha wachina salama mpk leo pamoja na maendeleo superficial (skyscrapers ndo zinakudanganya?) walio nayo yatokanayo na utegemezi wa kifikra na wizi wizi wa kimawazo mpk kesho.Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa''
Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha lini?
Na kuna viongozi wa Kiroho ambao utajiri wao unatokana na kuwadhulumu waumini wao kwa njia moja au nyingine ndio Maana hutakuta vitabu vyao vya mahesabu kuwa wazi zaidi ya kuwa somea waumini wao taarifa wanazo taka wao.