Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Robethn, Sep 12, 2015.

 1. R

  Robethn JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maelfu ya wakazi wa Bariadi wampokea Magufuli, wakiwemo wanachama wa chadema jimbo hilo ambao wameamua kujiunga na CCM.


  Mgombea Urais kupitia CCM Dr.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa mji wa Lamadi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akiingia madarakani atahakikisha wananchi hao wanaondokana na tatizo sugu la upatikanaji maji.  [​IMG]
  Mgombea Urais kupitia CCM Dr.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa mji wa Lamadi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akiingia madarakani atahakikisha wananchi hao wanaondokana na tatizo sugu la upatikanaji maji.
  [​IMG]
  Mgombea Ubunge jimbo la Busega Dk. Raphael chegeni akihutubia wakazi wa mji wa maji kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizoongozwa na mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
  [​IMG]
  Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani (kushoto) ,wakipena mikono na Mgombea ubunge wa jimbo la Busega kupitia CCM Dk. Raphael Chegeni wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika mji wa Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu
  [​IMG]
  Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani akiteta jambo na mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano na wakazi wa mji wa Lamadi, Busega.
  [​IMG]
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi Sapiwi wakati akiwa njiani kuelekea Meatu.
  [​IMG]
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa bariadi kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa CCM Saba saba.
  [​IMG]
  Wananchi wa Bariadi wakishangilia kwenye mkutano wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
  [​IMG]
  [​IMG]

  Report photo   
 2. G

  Getstart JF-Expert Member

  #121
  Sep 13, 2015
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,092
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Magufuli amnadi Chenge au Chenge amnadi Magufuli?
   
 3. mo effect

  mo effect JF-Expert Member

  #122
  Sep 13, 2015
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 541
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 180
  Huyo magufuli hana msimamo wowote hizo ni mbwembwe tu waendesha nchi ndio hao waliomchagua na kumweka hapo alipo lazima alegee na kulembua tu maana hakuna namna.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #123
  Sep 13, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,855
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Inaonekana mleta mada aliongea kishabiki kwahiyo na mie siwezi kuongelea sana vitu vya kishabiki mpaka hapo itakapotokea kweli then ntakuwa tayari tuendelee na mjadara mkuu ..walio wengi mnatamani magufuri alegeze misimamo yake lakini mzee wa kazi hawezi kubadilisha misimamo
   
 5. G

  Getstart JF-Expert Member

  #124
  Sep 13, 2015
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,092
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Maandishi yako pia ni ya kishabiki. Kumbuka Chama ndiyo kimemteua hawezi kutenda kama mgombea huru!
   
 6. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #125
  Sep 13, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,691
  Likes Received: 12,210
  Trophy Points: 280
  Magufuli lazima akawanadi mafisadi wote wa CCM! Hana ujanja!
   
 7. Doto Dotto

  Doto Dotto JF-Expert Member

  #126
  Sep 13, 2015
  Joined: Aug 3, 2015
  Messages: 2,442
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 280
  Team Magufuli baada ya uchaguzi tufanye mpango tukutane tushangilie ushindi kwa pamoja, tule bata full kujirusha, full mizuka. au mnaonaje wadau si inaewzekana jamani!! kombe letu tushabeba
   
 8. mixertechician

  mixertechician Member

  #127
  Sep 14, 2015
  Joined: Feb 14, 2015
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na mzee wa kazi tu tukimwapisha tu tunaanza na mshenga
   
 9. habi alex

  habi alex Member

  #128
  Sep 14, 2015
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Good I like it
   
 10. Cham Bee

  Cham Bee JF-Expert Member

  #129
  Sep 14, 2015
  Joined: Feb 10, 2015
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Akili yako sawa na avatar
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #130
  Sep 14, 2015
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,544
  Likes Received: 26,493
  Trophy Points: 280
  Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
  View attachment 286641
   
 12. Richolic

  Richolic JF-Expert Member

  #131
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 2, 2015
  Messages: 468
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60


  Hhhaaa kwa kwelii
   
 13. A

  AGOLA JF-Expert Member

  #132
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,259
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Kama nyomi sio ushindi kwanini ccm wanatumia wasanii kwa garama kubwa kwaajili ya kutengeneza nyomi?washauri hizo pesa wapereke hospitalini wagonjwa wanateseka hakuna dawa hospitali,akina mama wanajifungua chini waambie wawe na huruma bac.
   
 14. A

  AGOLA JF-Expert Member

  #133
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,259
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Sasa unamshangaa huyo wakati magufulipia anaitaivoivo!basi utashangaa hata twiga kupanda ndege kwa garama nafuu swaini.
   
 15. A

  AGOLA JF-Expert Member

  #134
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,259
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Ww ndo wanakulipa!hata diomond alilipwa kataaa bac.
   
 16. A

  AGOLA JF-Expert Member

  #135
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,259
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Sasa ccm nani mjanja mpaka siri isivuje?kinana,nape, january,hao wote wana vichwa vikubwa UBONGO wa mende.jakaya yeye kashasusa magufuli anampondea kilasiku hakunadawa hosp je ingekua ni wewe ungeendelea kumsapoti huyo kichwa manundu?
   
 17. A

  AGOLA JF-Expert Member

  #136
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,259
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Hawaelewagi hao wanajipamoyo mpaka wanakera.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #137
  Sep 14, 2015
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,171
  Likes Received: 6,885
  Trophy Points: 280
  Wanachama.wapya wakiwa na kadi mpya za CHADEMA
   
 19. R

  RaisMarangu Senior Member

  #138
  Sep 14, 2015
  Joined: Oct 18, 2013
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  magufuli ana mipangO mingi ambayo lowasa anamkubali,nawameanza kushirikiana,ni dalili lowasa anakaribia kurudi ccm,na amechoshwa na vurugu zilizomo chadema
   
 20. g

  geraldkowero1 JF-Expert Member

  #139
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 1,839
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Ukishaona dume zima limebebeshwa bango limeandikwa wanawake tunaweza nalo kama zuzu linapita mbele ya wanawake likinengua usitegemee mabadiliko hapo na ukitaka kuvunja mbavu zako muulize raisi wa sasa anaitwa nani kwa ujasiri atakuambia Nyerere.Hiyo ndio mitaji ya ccm na hawana gharama ni bunda la viberiti tu. Hata hivyo hizi hesabu za ccm wanazielewa wao tu. Kuwapata maelfu ya wanachadema katika mkutano wa maelfu ni hesabu za ahera.
   
 21. Hon Nkundwe

  Hon Nkundwe JF-Expert Member

  #140
  Sep 14, 2015
  Joined: Nov 30, 2014
  Messages: 2,358
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Huyu ndo kura yangu wataisoma namba ata me nmeamia CCM
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...