Magufuli amnadi Chenge au Chenge amnadi Magufuli?weka picha akionyesha anamnadi sio unaleta umbea umbea
Magufuli amnadi Chenge au Chenge amnadi Magufuli?weka picha akionyesha anamnadi sio unaleta umbea umbea
Hakuna aliye juu ya Chama! Na chama si mwenyekiti au kiongozi mmoja?
Maandishi yako pia ni ya kishabiki. Kumbuka Chama ndiyo kimemteua hawezi kutenda kama mgombea huru!Inaonekana mleta mada aliongea kishabiki kwahiyo na mie siwezi kuongelea sana vitu vya kishabiki mpaka hapo itakapotokea kweli then ntakuwa tayari tuendelee na mjadara mkuu ..walio wengi mnatamani magufuri alegeze misimamo yake lakini mzee wa kazi hawezi kubadilisha misimamo
Na mzee wa kazi tu tukimwapisha tu tunaanza na mshenga
Uraisi ni tasisi nchi bora inajengwa kwa katiba bora Mtanzania kuwa na akili usiendeshwe endeshewe
Usitumie njia moja kuzani utapata majibu tofauti
Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
View attachment 286641
Ukawa wataponzwa kwa kukariri kuwa nyomi ndo ushndi.Hata wahudhurıe watu 2,kanda ya zıwa yote nı Magufuli.Watu wanawaınjoi tu kwenye mıkutano yenu.
Hakuna sehemu inayoitwa baryati sidhani kama wewe ni mwenyeji Bariadi.
Wanakulipa bei gani kwa kuleta huu uzushi wewe dada yetu.
Kkkkkkkkkk, unachekesha sana, you can be a very fiction Novel write, you now how to creat plots. Kijana Kama hiyo Siri kubwa hivyo wewe umeipata kitoto hivyo basi Tanzania hakuna wa maana.
Nadhani unatuonyesha how you can engage your brains to work overtime, keep trying
Duh, CCM kweli kiboko! Yaani mtu unachakachua hadi picha? Basi ngoja na mimi nikupe hii;
View attachment 286297
Hii ni Mwanza, hamna tshirt, kanga wala fulana za bure...!
Hawaelewagi hao wanajipamoyo mpaka wanakera.
Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
View attachment 286641