Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

Huyo magufuli hana msimamo wowote hizo ni mbwembwe tu waendesha nchi ndio hao waliomchagua na kumweka hapo alipo lazima alegee na kulembua tu maana hakuna namna.
 
Hakuna aliye juu ya Chama! Na chama si mwenyekiti au kiongozi mmoja?

Inaonekana mleta mada aliongea kishabiki kwahiyo na mie siwezi kuongelea sana vitu vya kishabiki mpaka hapo itakapotokea kweli then ntakuwa tayari tuendelee na mjadara mkuu ..walio wengi mnatamani magufuri alegeze misimamo yake lakini mzee wa kazi hawezi kubadilisha misimamo
 
Inaonekana mleta mada aliongea kishabiki kwahiyo na mie siwezi kuongelea sana vitu vya kishabiki mpaka hapo itakapotokea kweli then ntakuwa tayari tuendelee na mjadara mkuu ..walio wengi mnatamani magufuri alegeze misimamo yake lakini mzee wa kazi hawezi kubadilisha misimamo
Maandishi yako pia ni ya kishabiki. Kumbuka Chama ndiyo kimemteua hawezi kutenda kama mgombea huru!
 
Team Magufuli baada ya uchaguzi tufanye mpango tukutane tushangilie ushindi kwa pamoja, tule bata full kujirusha, full mizuka. au mnaonaje wadau si inaewzekana jamani!! kombe letu tushabeba
 
Uraisi ni tasisi nchi bora inajengwa kwa katiba bora Mtanzania kuwa na akili usiendeshwe endeshewe

Usitumie njia moja kuzani utapata majibu tofauti

Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
View attachment 286641
 
Ukawa wataponzwa kwa kukariri kuwa nyomi ndo ushndi.Hata wahudhurıe watu 2,kanda ya zıwa yote nı Magufuli.Watu wanawaınjoi tu kwenye mıkutano yenu.

Kama nyomi sio ushindi kwanini ccm wanatumia wasanii kwa garama kubwa kwaajili ya kutengeneza nyomi?washauri hizo pesa wapereke hospitalini wagonjwa wanateseka hakuna dawa hospitali,akina mama wanajifungua chini waambie wawe na huruma bac.
 
Kkkkkkkkkk, unachekesha sana, you can be a very fiction Novel write, you now how to creat plots. Kijana Kama hiyo Siri kubwa hivyo wewe umeipata kitoto hivyo basi Tanzania hakuna wa maana.

Nadhani unatuonyesha how you can engage your brains to work overtime, keep trying

Sasa ccm nani mjanja mpaka siri isivuje?kinana,nape, january,hao wote wana vichwa vikubwa UBONGO wa mende.jakaya yeye kashasusa magufuli anampondea kilasiku hakunadawa hosp je ingekua ni wewe ungeendelea kumsapoti huyo kichwa manundu?
 
Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
View attachment 286641

Ukishaona dume zima limebebeshwa bango limeandikwa wanawake tunaweza nalo kama zuzu linapita mbele ya wanawake likinengua usitegemee mabadiliko hapo na ukitaka kuvunja mbavu zako muulize raisi wa sasa anaitwa nani kwa ujasiri atakuambia Nyerere.Hiyo ndio mitaji ya ccm na hawana gharama ni bunda la viberiti tu. Hata hivyo hizi hesabu za ccm wanazielewa wao tu. Kuwapata maelfu ya wanachadema katika mkutano wa maelfu ni hesabu za ahera.
 
Back
Top Bottom