AiseeeStop that shit !!! Jesus is nothing rather than a Mankind like you and Me

Hamna hii ni moja ya gharama kwa matangazo ya BureThread ikishageuka ya mabishano ya dini inapoteza ladha kabisa.

Watu wanashindwa kufungua mind zao na kujifunza mambo mbalimbali badala yake wanatanguliza mihemko ya dini. Huwezi kujifunza hata siku moja ukiwa umefungwa kwenye minyororo ya kiimani, kiitikadi nk.......Maana pale inapofikia kila mtu anaona mwenzie kapotea ndio inaharibika kabisa hata wale waliotaka kujifunza siku yakiwakuta wajue kujikwamua wanaachana nayo,
Kwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??
Kwani Shekhe Sharifu Majini yeye hatoagi Majini.....😳😳😳
mh ilo jina la yesu hujalisikia ww tu maana kila lugha ina lafdhi zake ,ila mohammad not change ulimwengu wote wanatamka sawaKwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??
ie basi mie ntamtaja kwa jina la jesus kua sio mungu nmekoseaPovu alotoa nani hapa kama si wewe.!! Nimeona kuna mtu na yeye kalitaja hilo jina sip.kuwa ni jina kama.majina.mengine na wewe ulipotoa uzi wako huu na kutoa ile mistari nilikuelewesha kuwa wakristo sie hutumia hilo jina kukumbiza mapepo na si kitu kingine.. hilo jina tunaliheshimu sana sasa mtu akija hapa na kuleta kuwa ni jina tu hakika nitaendelea kubishana.naye hadi ashangae.
NB: tuwe tunaheshimu dini za watu ty pale watumiapo au kuamini kitu kuwa ndo kinawasaidia ktk imani zao...
Hakuna anayejua kuwa iwe muislamu au mkristo kwamba dini yake ndo itampeleka mbinguni hilp msahauu.. bali kitakachotupeleka huko ni tabia zetu na matendo yetu haya tunayofanya hapa....
Nimemamiliza....
hivi nikuulize unaweza kunambia ukiachana na binadam ambae anabatizwa unaweza kuntajia kiumbe chochote katka ulimwengu kinachofuata kanuni za kinatural kinachobatizwa,ujue kwamba kila kinachozaliwa kinazaliwa kiuhalisia sambamba na ulimwengu unavyotaka ,ubatizwaji ni sign ya kupotezwa huku njia unaiona,wewe umeona wapi zambie atende mwengne alafu adhabu iwapate wengne .kila mtu atahukumiwa kwa alivyotendaUlishawahi kwenda ukakuta njia yako ni sahihi ama unaongea tuu ili kujibu!!fikiri kwanza kabla hujatoa jibu
uyo yesu ana kisima cha damu ambacho haimalizi msipumbazwe nyinyi



Huyo anayeitwa YESU Ni kiboko aisee, wasiojua nawapa pole. Mm Ni mwenye dhambi lakini nilibahatika kukutana na sauti yake na Kuna Mambo aliwahi kunisaidia na kujitambulisha kwangu nikizidiwa sna na majanga najipelekaga tu anisaidieHivi nyie walokole mnajua hii dunia ina watu zaidi ya 7 billion.?!
...na kati ya hao wanaomtambua huyo Yesu ni just 1/3 ya population..huo ujinga wenu wa kukihusisha kila kitu na Yesu mnaonyesha mlivyo vilaza
kwa uhakika gani asa uliokujuilisha kua yeye ni yesu kwa kupitia sauti yake maana wengi wanasema wametokewa ila tunahitaji proof sio kubwabwaja tu,maana ata wendawazimu hujiwa na sauti na wakareact na wao pia hujiwa na yesuHuyo anayeitwa YESU Ni kiboko aisee, wasiojua nawapa pole. Mm Ni mwenye dhambi lakini nilibahatika kukutana na sauti yake na Kuna Mambo aliwahi kunisaidia na kujitambulisha kwangu nikizidiwa sna na majanga najipelekaga tu anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona nawe unamuamini mtu huyo yesuNashangaa watu kukaa Ku amini upuuzi wa majini na viumbe vibovu
wakati "TUMEPEWA MAMLAKA"
Yaani seriously mtu unamwamini binadamu mwenzako akusaidie kuhusu swala fulani...hili Hali wewe binafsi unayo "MAMLAKA"
HAKIKA "WANAANGAMIA kwa kukosa maarifa"
Jesus name iz most powerful name which Can separate any EVIL....