The choosen one
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 234
- 286
DuuUnayafuga????![]()

yamekuwa hayo tena mi simoSource: Elimu changa
#Zakuambiwachanganyanazako.
DuuUnayafuga????![]()

yamekuwa hayo tena mi simoMzee naona unaingia na kutoka tu. Kuna sehemu unaenda vizuri lakini sehemu nyingine unachanganya haki na batili yaani unakataza dhambi kwa mgongo wa dhambi nyingine.
Umeongelea mambo ya midoli hapa; haya makitu kwenye uislamu ni haramu lakini naona wewe unashauri tu watu wasichome pini badala ya kuwaambia kabisa wasiwe na midoli kwenye nyumba zao maana ni haramu. Maana yake unashauri watu waweke midoli/vinyago ndani ila wasivichome pini tu! Sub-hanallah!
Ukaongelea swala la mbwa na paka; mbwa ni miongoni mwa zile najisi kubwa mbili (yaani mbwa na nguruwe ni levo moja ya najisi) lakini hapa naona unashauri watu wakijiwa na mbwa wasijali wala nini watulie tena wasome na Quran kabisa (halafu na neno ulilotumia sio zuri kwasababu mamlaka ya ulinzi kwa viumbe ni ya Allah peke yake )
Kuna mengi tu humo nimeona unakwenda tofauti (mfano dua ya wakati wa kujitazama kwa kioo hiyo uliyoweka hapo siyo yenyewe) ila kwa leo ngoja niishie hapo kwanza



Alifika level za chief satanism kama kina Professor Uzoma Ike huyu ana phd ya falaki kasoma vyuo vikuu vya uchawi duniani alikuwa kwenye level ya juu hawa wa level ya 33 degree uongea directly na wale majemedari 6 kwenye serikali kuu ya lucifer. Prof Uzoma Ike alikuwa na uwezo hadi wa kwenda sayari zingine nje ya dunia.Kweli Mungu ni mwema, na atamlinda sana maana amebeba siri nzito sana, na maarifa yao ya gizani, ndio maana wanamuwinda hata mimi ningekuwa ndio shetanilazima ningemuwinda mtu potential kama huyu asije akaniharibia kazi, maana mbinu zote anazijua,huenda hata wanasoma Elimu ya falaki chuo cha maarifa kwa sasa watakuwa na habari zake maana kwa Tanzania sijui kama kuna mtu anaweza kulingana nae kwenye falaki, we jiulize kama wanafunzi aliofundisha ni Magwiji je mwalimu atakuwaje
? , Nimeona YouTube kumbe hata huyo sijui pastor nani uliemtaja anasema na yeye alikuwa student wake na jamaa anasema yeye alikuwa gwiji east and central Africa .Lakini utashangaa kuna watu humu watakuambia wanajua falaki, muulize kajifunzia wapi au ndio ile ya kurithi au falaki ya JF ya nyuzi za kina fulani
.
No makasiriko ni maoni yangu tu
Source: Elimu changa
#Zakuambiwachanganyanazako.
maslahi yao na sio uislam unaamrisha hivyoNdugu kama umenielewa nimesema ya kwamba uislamu unatambua kuwa majini wema yalislimu na hivyo hushirikiana nayo katika ibadaezao lakini mabaya masheitwani ni yale yaliyogoma Muslim na ndio maana wafuga majini wengi ni masheikh sasa sijajua kama ni imani ndio inawaruhusu ama wanafanya kwa maslahi yao na kumbuka Iam talking from experience sio story za kutunga, Maana hata Masheikh wenyewe hawalingani elimu, mi nazungumzia wenye elimu ya ndani kabisa ya dini na waliofuzu falaki lazima atakuwa anafuga majini tu kwa sababu ya maarifa na uwezo alionao I know this, maana kufuga jini sio kama kufuga kuku lazima uwe na elimu ya kutosha kuweza kuwa handle ikumbukwe sijasema kila sheikh ila ni baadhi tena wale wenye elimu kubwa ya dini na wengi wao lazima walisoma mpaka nje ya nchi ingawa sitazitaja na ndio zina vyuo vikuu vinavyotoa hizi degree za elimu ya giza ingawa hata Tanzania kipo ila Diploma tu ni 5 years plus 2years za uaguzi kama unabisha niambie pale Elimu ya falaki chuo cha maarifa Dar es salaam wanafundisha nini? Na ni mtu yupi anaruhusiwa kujiunga kama sio watu waliofuzu tena kufuzu vizuri elimu ya madrasatul, hakuna cha cheti cha form 4 au 6 maana elimu inayotolewa pale haina uhusiano na elimu ya vyuo vingine wanafundisha uganga wa kienyeji na elimu nyingine za giza ikiwemo hiyo ya falaki. Sasa sijajua ndio mafundisho ya dini au wanafanya kwa maslahi yao.
, usishangae leo nabii anakuangalia tu anajua jina lako, uliopozaliwa ,maisha yako yote mpaka umefikaje kwake na ukitoka hapo kwake utaelekea wapi na huko utafanya nini na ukilala utaota nini maana anaekusoma nyota atajua hata ndoto zako unapolala maana ndoto ni moja kati ya funguo tano za ulimwengu wa roho ( sio somo la leo),(ingawa sio Manabii wote lakini mi naelezea wale ninaowajua
usistuke maana wanajulikana mbona
), wanachokifanya wanakusoma nyota kwa kutumia darubini za kichawi then nyota inaeleza kila kitu kukuhusu wewe.
Mbuzi kajileta kijiwe cha mishkaki
, Unakuta kuna watu wana nyota zinangaa hatari halafu anaenda kusomewa nyota either kwa mchawi, mganga, mfuga majini au mtu yeyote mwenye elimu ya Falaki ,huyu yeye hajijui alichobeba lakini mtaalam anaiona inavyotamanisha kwa jinsi inavyo shine,(kifuatacho ITV)ndio watu wengi nyota zao zimekamatwa kwa namna hii watu wanaopenda kuzunguka kwa waganga wa kienyeji, kupigiwa ramli, kusomewa nyota zao,kutabiliwa na Manabii na kwa hizo people hatari nilizozitaja hapo juu
mpaka urudi tena kwake na watu wengi hawajui Kwanini iko hivi, ndio ushatekwa nyota mzee kwa hiyo mafanikio yako yanategemea yeye anasemaje, kaisha kusajili kwa alama za vidole
kwenye madhabahu yake, kwa sababu ya kupenda kutabiliwa na kusomwa nyota na watu usiojua background zao, muwe mnauliza kwanza jamani 🥲,walisemaga mjini form six
, maana yake mjini shule huna shule unatekwa na wenye shule yao, akili mkichwa
.
ni meme tu jamani haina uhalisia) tena watu wakikuambia unaona kama vile wao ndio mapepo yametumwa kukujaribu imani
, hatari sana hizi mambo na si ajabu kukuta wakimwabudu nabii wao kama Mungu wao(mf,Zum.....idi the Don
) maana hawana uhuru tena Nafsi zimeshatekwa kitambo na huwaambii lolote labda kama unataka kipigo na huwa wapo tayari hata kujitoa maisha yao ili kulinda hiyo madhabahu, huwa nawafananisha na ndugu zangu wa Dini ya haki
. It's just a comparison not really thing (sijasema ni dini gani msinihukumu bure jamani sijataja mtu au imani ya mtu mimi
).
). Na ikitokea ikarudishwa kwenye mwili wake ndipo Kumbukumbu zote zinamrejea anajua mi nani niko wapi, kumbe nipo uchi na mambo mengine ya utambuzi na mtu aliyeibiwa hawezi jijua kama kaibiwa.
usishangae radar tu, sheol kuna mpaka computers powerful duniani hazipo maana wengi wetu wanafikiri kuzimu ni madawa madawa tu matunguri
, mambo ya kienyeji enyeji, labda tu nikumegee ka Siri ila usimwambie mtu
Technology nyingi kubwa zinazoushangaza ulimwengu za dunia ya leo kwenye mawasiliano, usafiri,uhandisi,afya n.k sio kwamba wazungu walikaa wakafikiri tu
maana najua ndivyo ulivyokaririshwa na wenzako, behind the scene ni sehemu kidogo sana ya maarifa ya huko.
na wenye dunia yao) ila hii ni ya kwangu jamani
. na kwanini technology kubwa zinatoka kwao tu (Whites, especially America) kuna nini America? Why not Malawi? Hata ikitokea huku haiwezi kuwa global why?. Labda nikupe mfano halisi......., mhh lakini basi tu maana navyokujua wewe utaenda kusema tu na wakati tumekubaliana ni siri yetu
.
nini wanaposema ulimwengu wa roho au huenda ndio wazee wa shughuli wanaona wanaumbuka wanajaribu kutapatapa maana uchawi ni kujificha (mazingara ombwe) ukiufichua huwa unakawaida ya kukosa nguvu kwako (hako ni ka siri kapya tena nimekupa ila usiseme kwa sauti
kama huna nguvu ya kutosha wasije wenye siri zao, wakakukunywa supu asubuhi na mapema
, sema ukiwa umejipanga vizuri like someone who write something to you now in JF).
.
JPM2. Aina ya pili ni majini yanayonuizwa kupitia vinasaba vya mwanadamu, yaani inachukuliwa mimba ya miezi minane tumboni kwa mamamjamzito (Hapa pia kuna siri nzito ya mimba zinazotoka
Mfano wa aina hii ni Hittler,Iddi Amin,Bokasa,Mao hawa ni majini wa kibinadamu
Wewe una elimu ya level gani?Duu, ni elimu pana sana na inavitu vingi lakini kwa uchache ni elimu ya giza kuhusu majini na utendaji wao katika ulimwengu wa roho, lakini pia ndani yake kuna elimu ya nyota, ila sio hizo za angani, maana kuna aina 12 tu za binadamu duniani na hii ni kwa sababu ya nyota zao, lakini pia elimu ya maumbo na mambo mengine kama haya, kugeuka roho nk, inshort ni elimu pana sana na ni wachache walio hata na masters yake mfano mzuri ni huyo sheikh uliyenitajia inbox maana yeye ndio alikuwa mkufunzi mkuu kwenye hio idara, na yeyote aliyepita pale chuoni lazima atakuwa anamjua hata kwa kusikia tu, nashangaa hata na wewe umemjuaje au umepita pale nini
, wengi wao ni beginners au wanayo ya kawaida sana wamejifunza ila sio darasani labda kwa kusikia kama humu jf, au kwa watu wao wa karibu.
Elimu changaWewe una elimu ya level gani?
tu mkuuNdugu makasiriko ya nini soma vizuri mbona hakuna sehemu nimetaja ukristo,uislamu au budha,. Na mimi sijapinga ila najaribu kutoa maoni yangu kuhusu hili somo kwa elimu changa niliyonayo.Kuna kitu ambacho tunakikosa sana ambacho ni Religious Tolerance. Mtu kaleta uzi wake kwa anachokiamini yeye na waumini wenzie lakini anatokea mtu anapinga kwa sababu yeye ni imani tofauti analeta anachokiamini yeye.
Hapo inazua ubishani na mwisho wa siku kufikia kukashifu dini na imani ya mwingine. Mimi ni Mkristo lakini naheshimu anachokiamini muislamu, budha, n.k na hata asiyeamini kama kuna Mungu. Hii ni kwasababu imani yake ndo inampeleka huko.
Kama uzi haukuhuhusu usisome wala ku comment kaa kimya hutaulizwa na mtu.
Na mtu kaleta uzi ili tusome tu comment na kutoa experience zetu kuhusu mada husika, ila wewe ndio unataka kuufanya uwe uzi wa kidini maana ushaanza kutaja ukristo uislamu sijui ubudha, vitu ambavyo hakuna anayevizungumzia humu ila wewe ndio umeenza kuviletaKuna kitu ambacho tunakikosa sana ambacho ni Religious Tolerance. Mtu kaleta uzi wake kwa anachokiamini yeye na waumini wenzie lakini anatokea mtu anapinga kwa sababu yeye ni imani tofauti analeta anachokiamini yeye.
Hapo inazua ubishani na mwisho wa siku kufikia kukashifu dini na imani ya mwingine. Mimi ni Mkristo lakini naheshimu anachokiamini muislamu, budha, n.k na hata asiyeamini kama kuna Mungu. Hii ni kwasababu imani yake ndo inampeleka huko.
Kama uzi haukuhuhusu usisome wala ku comment kaa kimya hutaulizwa na mtu.
Wafuasi wa Jiwe watakuja kukupopoa mkuu.Madikteta wengi au wote ni jini wa kibinadamu thus utenda yaliyo kinyume na wanadamu
Nadhani kwa Waislamu hamtoani mapepo kwa sababu mmeamua kuishi nayo, kifupi mapepo ni rafiki zao. Kwa wakristo wao hawataki mapepo ndiyo maana huwa wanayakimbiza yakija, kifupi mapepo ni maadui zao.kwa nini mapepo mengi yapo kwa wakristo? ulishaona waislam wanatoana mapepo miskitini? nyumba ya Mwenyezi mungu hakuna ibilis kukanyaga
Uelewa wako ni finyu sana kwenye hili suala na unaquote usichokijua.Nadhani kwa Waislamu hamtoani mapepo kwa sababu mmeamua kuishi nayo, kifupi mapepo ni rafiki zao. Kwa wakristo wao hawataki mapepo ndiyo maana huwa wanayakimbiza yakija, kifupi mapepo ni maadui zao.
Hii hadithi umeirahisidha sanaMajini na jinsi ya kuwakwepa:
![]()
Allah/Mwenyezi Mungu
Alisema katika kitabu chake kitukufu:
Chapter (51) sūrat l-dhāriyāt (The Wind that Scatter)
![]()
Sahih International: And I did not create the jinn and mankind except to worship Me.
Pickthall: I created the jinn and humankind only that they might worship Me.
Yusuf Ali: I have only created Jinns and men, that they may serve Me.
Shakir: And I have not created the jinn and the men except that they should serve Me.
Muhammad Sarwar: We have created jinn and human beings only that they might worship Me.
Mohsin Khan: And I (Allah) created not the jinns and humans except they should worship Me (Alone).
Arberry: I have not created jinn and mankind except to serve Me.
"Hawakuumbwa wanadamu na majini ila wamuabudu"
Na wanadamu hawawezi kuwaona majini kwa sababu kawawekea membrane(uzio ambao utawafaya wasiweze kuwaona majini kwa macho ya dhahiri, hii ni kutokana na mwenyezi mungu kuwakinga wana wa adam kwa hofu ambayo ingewapelekea kuzimia au kupoteza maisha kwa kutokana na kuwaona so he will not see them, so that he will not be blinded or die for fear because their sight is shaken.
![]()
.
Nao wanaishi katika dunia hii hii bila kuonekana na hufanya maisha yao bila kuonekana:
kwa walivyoelezewa ni kwamba wapo katika aina tatu lakini wachunguzi wanaopenda kuwajua zaidi wawafuate huko walipo,
1: (Ifrit/Afreet)
aina ya kwanza ni Ifrit
![]()
Huyu huwa na uwezo wa kuhamisha kitu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine duniani umbali wowote na huwa na spidi zaidi ya mwanga wa taa ukifumba na kufumbua au kukapua tu macho basi yeye anakuwa kashafikisha kitu hata kama kipo magharibi na kinakwenda mashariki ya dunia na anaweza kumfurahisha master wake kwa kila anachokitaka na kumburudisha vyovyote na kumfanyia yote anayoyataka na ndiye huyu aliwahi kuiba ufalme wa Suleiman kwa kujifanya Suleiman kwa muda nisioufahamu na aliweza kufanya hivyo kwa kubabe pete ya King Solomon na kujibadilisha kuwa kama Suleiman Son Of Daud/David. hadi pale pete ya Suleiman ilipoletwa na samaki kule alipokuwa akisafisha samaki, wengi kati yenu mnaijua hii hadithi.
Aina ya pili ni (Ding/Ghoul)
![]()
Hawa ni majini wabaya kabisa wenye sura mbovu ambao wao huhakikisha wanaharibu maisha ya mwana wa adamu kwa sababu tu yeye alipewa ukhalifa au uongozi wa kumiliki dunia hii, hivyo wao hujihisi kudhulumiwa kwa maana mwanzo mamlaka hayo walipewa wao wakaishia kumwaga damu na kufanya uchafu ambayo ndio wanayofanya mwanadamu wa leo ayafanye ili waweze kuwa sawa na kulaumu hukumu ya mwenyezi mungu nao husumbua watu wanapokuwa wakifanya maisha yao kama kula,kuvaa,kuoga,kukaa,kuelewana n.k
Aina ya tatu hawa ni (Ghilan/Sila)
![]()
Hawa hujitokeza katika maumbo ya watu,wanyama,vitu na kadhalika nao ni wengi zaidi walio karibu na watu kiasi kwamba huwaiga hadi sauti sura mavazi na hata ufanyaji mambo yote na hufanya kila anachofanya mwanadamu.
Yote kwa yote mwenyezi mungu Alishasema ya kuwa hivi ni viumbe dhaifu sana kwetu pamoja na nguvu zote vilivyopewa hakuna cha kumfanya mwanadamu vikamshindwa nguvu unless hajijui ananguvu kiasi gani juu yao.
wale waliojitambua uwezo wao basi utakuta anakituma kama kijakazi au kukifukuza na kukiulia mbali lakini ninaposema hivyo kwa kuwaonyesha kama wadudu haimaanishi kwamba ni wadogo maumbo yao akiingia ndani kwako chukua sitting room nzima ndio mfano wa nyoka aliyekunjwa akakaa, ili uweze kuwaona wadogo na wakuheshimu lazima uwe na imani thabiti kwa muumba wako lakini mwehu mwehu mzinzi mzinzi na mjinga mjinga, usithubutu kusema wala kuhisi hawa viumbe ni wadogo maana wana tabia ya kupima Imani,
Hivyo basi hawa hukimbia na kuumia sana pale mwana adamu anaposoma sifa za mwenyezi mungu katika aya za taji Quran (Ayatul Qursy)
na kutokumsogelewa kwa muda wa siku nzima
LAKINI YAFUATAYO YAKUPASA UWE NAYO MAKINI ILI UWEZE KUKWEPA VIUMBE HAWA:
1: Pale unapobadili nguo litaje jina la mola wako mlezi ili viumbe hivi visiweze kukuona ukiwa uchi,
2: unapolala lala kwa ubavu wako wa kulia na usome Al-Muadhatein(Surat Falaq and Naas) Kwa sababu ikiwa hautosoma basi majini kawaida yao humfata mtu aliyelala na kumkalia juu na kuanza kumkaba na kumsumbua na kumgeuzia ndoto zake na kuwa ndoto za kutisha sana
![]()
3: Usichome pini kwenye midoli ya nyumbani kwako au kumruhusu mwanao kuchomeka, kwenye midoli ya nymbani kwako kwa maana majini wengine huishi kwenye mamidoli hivyo unapochoma unawaumiza baadae watakuja ukiwa haupo vizuri watakutandika na kukuumiza pia au kumuuguza mwanao mapele ya ajabu ajabu au wewe mwenyewe, kuchomeka pini ni ishara ya kichawi kwa kufunga muhusika ndani na kuanza kumtesa hivyo mwanao akikuweka kwenye meditation state wewe au yoyote akachoma pini utaona cha mtema kuni,
![]()
4: Usizungumze kwa sauti ya juu nyakati za usiku kwa sababu huwa kuna majini wanaozunguka nyakati hizo kelele huwaumiza nao hushindwa kujizuia kukunyamazisha kwa kukuumiza kichwa au kukufanyia chochote ili mradi ukae kimya,
5: Usilie ukiwa peke yako kwa sababu hapo majini hukusogelea na kuanza kukunong'oneza mambo mabaya na kukwambia hakuna wa kukusaidia wewe hufai n.k hivyo hupelekea wewe kufanya maamuzi mabaya,
![]()
6: Kumbuka kutaja jina la mola wako kila unapotupa au kurusha kitu au kuruka sehemu kwa sababu kuna asilimia nyingi za uwepo wa jini pale utakapotua ambae eidha kalala au kakaa, hivyo kama katumwa au kwa mapenzi yake anaweza kukuzulu na kukuumiza au hata kukumaliza.
7: Usimwage au kukoga maji ya moto bafuni bila kusema najikinga kwa ewe Allah kutokana na mashetani wa kike na kiume ambaye ni Kubuth na Khabaith na vitendo vyao na machafu yao.
8:Na kama utahisi maskio yako yanapiga kelele au yanalia mdudu na ukahisi joto mapuani na unaskia harufu ya kuungua na huoni kinachoungua basi fahamu kuwa mbele yako kuna jini mbele ya macho yako hivyo sema najikinga kwako mwenyezi mungu kutokana na mashetani wa kijini,au "audhu billah minal shaytwan rajiim" Na kama bado yupo toa Azaan (akiondoka utahisi kibaridi au upepo umekupuliza, Hivyo hivyo ukihisi baridi la ghafla
9:Kama unafuga paka au mbwa nyumbani na ukamuona analia kwa hofu au kukujia karibu yako kwa kuogopa na kuanza kuzunguka miguuni kwako basi msaidie kwa kusoma Muadhatein kwa sababu kuna jini mbaya anaetisha anamsogelea na kutaka kumzuru yeye au watu waliopo kwenye nyumba hiyo au eneo hilo, na akianza kucheza au kuondoka basi teyari upo salama, na akikaa hadi usingizi ukampitia basi wewe utakuwa teyari umekubwa na jini,
10: Usijiangalie kwenye kioo ukiwa uchi au nusu uchi au kujiangalia karibu na kioo kwa sababu majini huchukua sura yako na kuanza kuwafuata ndugu jamaa na marafiki zako na kuanza kuwapa ndoto mbaya za picha yako basi baada ya muda utaanza kuhisiwa mchawi. na ukiwa ni mpenzi wa kujiangalia angalia basi unatakiwa kusema "kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu" Bismillah rahman rahiim" Hakuna kitakachokuika sura wala mwili na kama usiku unalala na kioo ndani ya chumba kwa kulalia basi kifunike maana hicho ni msaada au geti la majini katika kukudhuru kizazi.
Usiogope na Mwenyezi mungu atakusaidia kuwafukuza na kujikinga nao na kila mtu kufanya maisha yake kwa uhuru,
Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:
Rakims
Hata wewe unaweza kuongelea kwa nafasi yako mimi niache niongelee majini wewe ongelea malaika na wengine wataongelea siasa na wengine mapenzi hivyo usinipangie cha kuzungumzia. IQ kapimeKila siku majini tu ongeleeni bas hata malaika?
Ila wewe hepatitis BKila siku majini tu ongeleeni bas hata malaika?


, haya bhana, sasa nimeelewa kwani umejiita hilo jina.
, Nimejikuta nacheka kijinga sana, yaani jibu lako hadi Raha.Wale ambassadors wanaimba yesu kila siku lakini walikiona cha moto.JINA LA YESU KRISTO LATOSHA. HAYO MAKOROKORO MENGINE TUPA KULE