NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,914
Kumbe kasema yeye, basi ma mimi ntasema.SI KUSEMA TU.vyovyote mtazamo wako unavyotaka uwe kumuhusu ila.
Pasipo yeye huwezi lolote.
Yeye atawahukumu wanadamu wote.
Yeye atawafufua wafu wote wema na waovu ili wasimamw mbele ya kiti cha hukumu.
hayo sio maneno yangu ni yake Yeye mwenyewe, wala mimi sihusiki. Mimi naamini kila anachosema na sina shaka nae mkuu.