Mungu ndiye mambo yote majini hawana mamlaka mbele yakeKweli kabisa
Mungu ndiye mambo yote majini hawana mamlaka mbele yakeKweli kabisa
historia ya kioo kilianza kutumika kwa hao viumbe kwa kuzungumza nao ilikuwa unajiona wewe baadae unataja taja majina yao fulani fulani kisha wanatokea na kuongea nao mkuu kikubwa kama unaishi kwenye nyumba ambayo ina vioo vya kureflect jitahidi kuhifadhika kwa maombi mara kwa mara ambavyo vipo salama ni vile vinaonyesha upande wa piliMkuu Rakims vipi kuhusu vile vioo tunavyoweka kwenye kuta za nyumba zetu, vyewewe hawiwez kuwa geti la hao viumbe?
Pole my...Mkuu basi yani sina raha
Hakika.....nitumie namba yako ya simu ninunulie bando la buku 5 maana una akili sana.JINA LA YESU KRISTO LATOSHA. HAYO MAKOROKORO MENGINE TUPA KULE
Kama linatosha basi wakristo wengi msingekuwa na mapepo maana kika ibada lazima mutoane mapepo maana yake yanatoka na kurudi ilo jina halitoshi ukiona hivyo.JINA LA YESU KRISTO LATOSHA. HAYO MAKOROKORO MENGINE TUPA KULE
Wewe ndugu yangu heshimu imani za watu wengine walahiJINA LA YESU KRISTO LATOSHA. HAYO MAKOROKORO MENGINE TUPA KULE
Aisee! Majini yapo na yanatesa jamani.
Zamani nilikuwa nashangaa ila siku hizi nalia na moyo
Usiwaogope kabisa walahi
Stop that shit !!! Jesus is nothing rather than a Mankind like you and MeMajini ni Malaika waovu wa Shetani.
Njia pekee ya Kuwaepuka ni Kumuamini Yesu aliyesema '' APART FROM ME YOU CAN DO NOTHING" John 15:5
Nje ya hapo ni kutengeneza ugumu utakaokufanya uishie kupata tabu sana
Nashangaa watu kukaa Ku amini upuuzi wa majini na viumbe vibovu
wakati "TUMEPEWA MAMLAKA"
Yaani seriously mtu unamwamini binadamu mwenzako akusaidie kuhusu swala fulani...hili Hali wewe binafsi unayo "MAMLAKA"
HAKIKA "WANAANGAMIA kwa kukosa maarifa"
Jesus name iz most powerful name which Can separate any EVIL....
vyovyote mtazamo wako unavyotaka uwe kumuhusu ila.Stop that shit !!! Jesus is nothing rather than a Mankind like you and Me
Fanya uhame huko uliko naona uko ktk Giza totoro la upofu uliopindukia yaani Yesu ahukumu watu jamani hivi IQ ( Measure of Intelligence ) yako inafanya kazi vizurivyovyote mtazamo wako unavyotaka uwe kumuhusu ila.
Pasipo yeye huwezi lolote.
Yeye atawahukumu wanadamu wote.
Yeye atawafufua wafu wote wema na waovu ili wasimamw mbele ya kiti cha hukumu.
hayo sio maneno yangu ni yake Yeye mwenyewe, wala mimi sihusiki. Mimi naamini kila anachosema na sina shaka nae mkuu.
mkuu hivi unalifahamu VIZURI hili jina la YESU KRISTO MWANA WA MUNGU?!?!Inaonyesha una misconceptions nyingi sana kuusu jina la Yesu hili ni jina tu halina nguvu yeyote kama ufikiriavyo
Nalifahamu kuliko ww ndugu lakini napinga kwamba linauwezo wa kufanya kitu chochote cha muujiza tatizo ni kwamba kuna nguvu ya ziada huwa inatumiwa pamoja na jina hili lakini wengi wenu hamjuimkuu hivi unalifahamu VIZURI hili jina la YESU KRISTO MWANA WA MUNGU?!?!