Maelezo muhimu kuhusu majini!

Maelezo muhimu kuhusu majini!

Asante mkuu kwa maada yako nzuri na elim bure kwa waamini flani flani

Ila kwa wakristo sidahani kama wanatumia njia hii,,sis wakristo huku tulisha pita kitambo so hatuhofu hata kidogo,,
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wewe u nani mpaka umhukumu mtu jamani!
Wote tuna mapungufu jamani, ndio maana kila siku tunamuomba mungu.

Ndugu sija mhukumu mtu yeyote lakini nilichomaanisha peponi au motoni mtu huchagua yeye mwenyewe kulingana na matendo anayoyafanya hapa duniani

Mm sina mamlaka ya kuhukumu mtu yeyote bali hayo ni mamlaka ya aliye juu mbinguni
 
Trust me sio mimi bali ni kwa mtu ambaye yuko interested na masomo kama haya na hana thick skin!
Hakuna bingwa wa IMANI walahi

Kwa Itiqad yangu mm Imani huwa inapanda na Kushuka hakuna Ubingwa
 
Msitaje majina ya mitume kwa kejeli hivyo..utajisikoaje na yeye akitaja jina la mtume wenu kwa dhihaka.. huwezi mtoa mtu ktk imani yake kwa kashafa na ana imani kali kuliko wewe. Kuna mengine watu tunaangalia na kukaa kimya kupitia dini xa wengine na ikumbukwe pia maneno machafu ktk dini kimjibu mtu hoja maana yake umeshindwa kutoa hojaaaa..

Mkuu ameelezea vyema na anajibu kwa hekima sana....
Why umwite Yesu wetu ambaye sisi kwetu tunaona ni mwokozi wetu kwa maneno yako hayo..na tutaendelea kumweshimu milele kama ni mwokozi wa maisha yetuu...
Tusiwe wavivu wa fikra ktk imani za watu wengine..

Stop that shit !!! Jesus is nothing rather than a Mankind like you and Me
 
Inaonyesha una misconceptions nyingi sana kuusu jina la Yesu hili ni jina tu halina nguvu yeyote kama ufikiriavyo
Kwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??
 
Uwezo wa kutoa pepo sio mchungaji tu kwani kima maandiko Bwana wetu Yesu Kristo aliwaambia enyi viumbe dhaifu mtaendelea kuwa na mimi hadi lini. Iwapo kumponya huyu mmeshindwa ila kwa imani mkiwa nayo mnaweza uambia ule mbuyu hama nao ukahama.. ila kwa kuwa hamna imani hamuwexi.. hivyo uponyaji unawez fanywa na mtu yoyote iwapo imani yako iko imara... imani ni kujiamin ndugu..[Uweo waQUOTE="As Salafiyyu91, post: 29178860, member: 197947"]Hutumia super natural power hutajwa jina kama kivuli tu cha kufichia mambo yao lakini ukiwa na nyenzo hizo unaweza ukatoa pepo kwa jina hata la Mbwa au Mbuzi

jina sio ishu jiulize swali moja kama kweli ni jina ndio linalotoa mapepo kwanini kuwe na watu special ndio wanafanya kazi hiyo kwani wewe ukisema kwa jina la Yesu na Mchungaji fulani utofauti unakuwa wapi ?

Yaliyo chini ya kapeti huyajui Mkuu ukitaka kuyajua kwanza fungua kifua chako bila kuweka vikwazo utanielewa[/QUOTE]
 
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Wengi wao huamini ya kwamba Yesu ndio muumba wa kila kitu siku atakapo wakataa na kumuomba radhi muumba wake ndio watajua
Tengua hilp neno hakuna mkristo anayeamin.Yesu ni muumba bali alipewa mamlaka na baba yetu wa mbinguni kutukomboa..na usahau kuwa ipo siku Yesu atakuja kutukataa hilo utasubiri sana mkuu...
 
Mkuu huwa naheshimu sana dini za wengine lakini kwa hapo kwenye yesu kuhukumu watu nimetamani hata kudeletia mbali hii thread nzima maana kumbe unajua jina la yesu ila humfahamu Yesu ni nani wakristo wenzio watakusaidia,

Mathayo 7:21-23 Neno:
Mfuasi Wa Kweli
21 “Si kila mtu anayesema, ‘Bwana, Bwana,’ ambaye ataingia katika Ufalme wa mbinguni ila ni wale wanaofanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Siku ile itakapofika wengi wata niambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’

Kutoka 20:3-5 Imeandikwa "Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao."

Tubu mkuu maana hadi hapo uko mbali na Yesu wako pia watafute wakristo wakufundishe ni yupi mungu ambaye ni hakimu

Rakims
Shida yako ndugu yangu niu unasoma hautafakari. Jitahidi kutafakari na ujue alisema hatukutoa mapepo kwa jina lake ushakubali kuwa jina likimbixalo mapepo ni Yesu. Na hilp jina tunalitumia na kuliheshimu sana na linakimbiza kweli mapepo yote na sio kutumia matunguli kumtoa mtu mapepo only Jesus name ndo kila.kitu
 
Kwa nini majini mengi yanahusishwa na dini ya moslem?

Nini tofauti ya jini , ibilisi na shetan?
kwa nini mapepo mengi yapo kwa wakristo? ulishaona waislam wanatoana mapepo miskitini? nyumba ya Mwenyezi mungu hakuna ibilis kukanyaga
 
Shida yako ndugu yangu niu unasoma hautafakari. Jitahidi kutafakari na ujue alisema hatukutoa mapepo kwa jina lake ushakubali kuwa jina likimbixalo mapepo ni Yesu. Na hilp jina tunalitumia na kuliheshimu sana na linakimbiza kweli mapepo yote na sio kutumia matunguli kumtoa mtu mapepo only Jesus name ndo kila.kitu
wewe ndio soma utafakari nilichoandika povu linakutoka kwenye vidole kwa kuona nimeandika hviho kipande hivyo. hapana point hapo ilikuwa ni kumuonyesha huyo muhusika kuwa hata Yesu mwenyewe alikataa kwa atakae piga piga maneno kwa jina lake bila kumkubali na kumpenda Mwenyezi mungu aliyeumba vyote hata ingia mbinguni,

Na kumuonyesha ya kwamba asifanye miungu wengi ila ni yule atakae mfanya Muumba wa vyote ambaye hana mshirika peke yake kuwa Ndio muumba, sasa yeye kapinga maandiko yake mwenyewe ndio nikawa namuelewesha, nimeomba sana hii thread isiende kwa udini kisa tu nimeelekeza njia moja ya kujikinga na hayo madudu sasa kama kuna mwengine anahitaji kuelezea kikwao basi aanzishe thread yake, binafsi huwa naona mada nyingi tu humu na sehemu yingi za furums kama jokes,siasa etc lakini ni vitu ambavyo havinihusu hivyo huwa napita tu, lakini nyie wengine sijui tuwaweke kundi lipi.

Povu alotoa nani hapa kama si wewe.!! Nimeona kuna mtu na yeye kalitaja hilo jina sip.kuwa ni jina kama.majina.mengine na wewe ulipotoa uzi wako huu na kutoa ile mistari nilikuelewesha kuwa wakristo sie hutumia hilo jina kukumbiza mapepo na si kitu kingine.. hilo jina tunaliheshimu sana sasa mtu akija hapa na kuleta kuwa ni jina tu hakika nitaendelea kubishana.naye hadi ashangae.

NB: tuwe tunaheshimu dini za watu ty pale watumiapo au kuamini kitu kuwa ndo kinawasaidia ktk imani zao...
Hakuna anayejua kuwa iwe muislamu au mkristo kwamba dini yake ndo itampeleka mbinguni hilp msahauu.. bali kitakachotupeleka huko ni tabia zetu na matendo yetu haya tunayofanya hapa....
Nimemamiliza....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom