maduu wetu hawaa.....

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
509
250
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Hiyo ya kwanza tu, [credit ya shs 5000], bila kuongeza ombi lingine lolote, linatosha kutupa kule.
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?

masai wewe na hosteli wapi na wapi, waachie mapapaa hao watu,
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,795
2,000
hata sikumbuki ni lini simu yangu niliwahi kuweka zaidi ya 1000 halafu yeye anataka 5000!!wajameni mtatuua!!!!
hahaha, mchukue wanawake.wa level yenu jamani. Hapo hujaombwa hela ya internet package, 30,000 tu kwa mwezi. Lol
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
Kula uliwe :biggrin1:
Wewe unataka kula tu ......... lazima na wewe uliwe :bounce:
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,894
1,225
Sasa unataka asile? Asipendeze? Asisome? Asiwasiliane na watu?
Hawa hawajui kwamba ukiona vinapendeza ujue vinahitaji huduma. Kama wewe bahili tulia na usiwatafute mabinti, achia wenzio wahudumie.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,882
2,000
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?

hao mbona wazuri kabisa ...unajua kabisa hupo kibiashara...wee unajua hapa nagegeda tuu hamna utamu wa bure kaka
 
happiness win

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,462
0
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?

Jamani yaani kivocha tu cha 5000 kinakutoa roho? ingekuwaje kama ungeombwa pesa ya pango? furniture? lol si ungeenda tafuta RB!
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,283
2,000
<<Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?>>
Inategemea makubaliano yenu wakati mnatakana yalikuwaje. Haiwezekani gharama hizi zikaja "All of a sudden", lazima zina chanzo chake. Kama wakati unamtaka ulianza kwa kutangaza utajiri ulio nao kwa magari ya kuazima na pamba za kuazima lazima mizinga ya namna hiyo uipate. Likewise, starehe gharama. Gharamia ili uendelee kufaidi tunda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom