maduu wetu hawaa.....

maduu wetu hawaa.....

Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh." Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?
kawaida sana, kama kawaida watoto wa bongo njaa kali balaaa.
 
hapo bd hajakuletea kadi feki za michango ya harusi. Eti yeye ni alwatan ana mtu wa maana(ndo wewe sasa) hachangi chini ya hamsini. Kaja na kadi tatu hapo zinapishana mwezi mwezi hahaaa
 
Umesahau na bado kuna nguo kwa fundi,,Madem wa kiAfrika ukishamtongoza tu ashakugeuza Mzaz Mlez basi hapo atakupiga Ndui Kibao,,Mbona mnaiga madem wenzenu wa Ulay Mavazi tu igeni na vitu vngne,,huku Dem akikuomba Promise ujue ataProvide yeye kila kitu au some bill lakin kiBongoBongo hadi nauli ya 250 anauchuna anataka umlipie,,,Kweli Wanaume tumeumbwa Mateso

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hahaha, mchukue wanawake.wa level yenu jamani. Hapo hujaombwa hela ya internet package, 30,000 tu kwa mwezi. Lol
hawa tunaochukua ndo wa level yetu,tatizo mkikutana huko salon mnawaharibu na story za kuigiza!!!!na wenyewe wanabadilika, alikuwa anakuita mpenzi anaanza kukuita dear na mizinga kibao!!!!
 
nina nina zake sisi sio atm machine jamani,khaaaaaa kwanza ni zamu yenu kutuhonga haki sawa.
 
mi ndo maana napenda kuku wa uswahilini full unyenyekevu uroda mtamu jumlisha viuno vinogavyo ukimpa alfu kumi anakuuliza yote hii shauri zenu na magold digger wenu.
 
kwa experience yangu ndogo tu ya kusoma vyuo vya hapa bongo na kukaa mtaani
ni kwamba ukiona unaombwa ombwa hela kila siku za vitu kibao km huyo jamaa alieleta hii habari hapa
jua huna chako hapo kuna wanaume wenzio wanakula mzigo bure na ndo maana hana hofu ya kukuomba omba
hela kwa kuwa hata uki mind hajali anachotaka ni pesa. anataka achume chake mapema hata ukistuka mapema na ye ameshapata japo kitu hapo....
 
Bure ghali!!!...Mnataka vya bure bure halafu mkipigwa chini mnaanza kulialia.
 
Niliwahi kumwuliza mwanaharakati moja hapa nchini(mwanamke) inakuwaje wanawake hasa wasichana wa nchi za kiafrika ni tegemezi sana wanapokuwa na mahusiano na mwanamume? Alinijibu kuwa kama serikali za kiafrika na hasa Tanzania ni tegemezi kwa karibu kila kitu unategemea nini kwa wananchi wake?
 
hahaha, mchukue wanawake.wa level yenu jamani. Hapo hujaombwa hela ya internet package, 30,000 tu kwa mwezi. Lol

kibaya zaidi unamtumia vocha ya elf tano halafu anakubip, sijui anampigia nani kwa hela ile. Nadhani huyo atakua anakuchuna tu. Mimi nlikua na demu wangu alikua ananitilia yeye vocha na nikimpigia anakata ananipigia yeye. Aisee ilikua raha mno
 
kibaya zaidi unamtumia vocha ya elf tano halafu anakubip, sijui anampigia nani kwa hela ile. Nadhani huyo atakua anakuchuna tu. Mimi nlikua na demu wangu alikua ananitilia yeye vocha na nikimpigia anakata ananipigia yeye. Aisee ilikua raha mno
nkuki kwa nguruwe eeh? mla vya wenzie huliwa, ujue na huyo dada nae anatumiwa na mtu anakuhonga, zako shurti zihongwe pia baba
 
inategemea wakati unaanza naye ulijitambulisha vp!! kama ulienda na range ya kuazima kesho yake ukarud na jeep then ukamtupia BlackBerry yenye salio la buku 30 unategemea akuombe vocha ya 500 au buku???

some time sisi wenyewe huwa tunajijengea mazingira ya kuchunywa na kupewa mapenzi ya wongo!!
 
Back
Top Bottom