Maduka ya mavazi ya michezo

Maduka ya mavazi ya michezo

mwathu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
403
Reaction score
210
Habari zenu wadau,
tafadhali naomba msaada wenu , mimi ni mnazi mkubwa wa clabu ya simba na Man united, nataka kununua Jezi zao ila sijui duka gani naweza kwenda kununua latest jezi za hizi clubs.

Msaada plse.
 
Jezi za Simba nenda uwanja wa Taifa siku ya mechi yao,ManUNITED kuna maduka mengi Sinza au Mwenge
 
pale kariakoo karibu na polisi msimbazi/baresa kuna maduka wanauza.
 
Za simba nenda pale klabuni wanauza ofisini kwa 20k
 
Zizu fasheni Viktoria, ila bei zao mkubwa hapangwi.
 
Zizou fashion nadhani wanazo. Mi nilinunua ya taifa stars lakini. Wana duka petrol station ya victoria, kona ya kwenda kwa kairuki hospitali. Duka lingine liko opposite na corner bar, sinza.

Viatu vya michezo na mengineyo unaweza kupata duka la addidas mlimani city. Ukiingia gate 1 lililo upande wenye kumbi za sinema, ni stall ya kwanza kulia.
 
Ni kweli wanazo hizo Jezi, ila bei zao zimeshiba sana, ingawa jezi ni feki.

Ndio bro, pale ni kama Mlimani \city na vifaa vya elektroniki. Kuna siku nilijipitisha nikauliza jezi ya Kaizer Chiefs yule bidada bila aibu akanijibu "laki na ishirini" wakati Kariakoo kitu hicho hicho buku twenty tu...
 
Si pale karibu na marybrown jamaa mzigo wao ni original kabisa
 
Ndio bro, pale ni kama Mlimani \city na vifaa vya elektroniki. Kuna siku nilijipitisha nikauliza jezi ya Kaizer Chiefs yule bidada bila aibu akanijibu "laki na ishirini" wakati Kariakoo kitu hicho hicho buku twenty tu...
Umeona eeh? Hata kama ni 120,000/=, ziwe ni original basi! Lakini wao wananunua feki pale K,koo kwa hiyo 'buku ishirini' uliyonunulia wewehalafu wanauza pale Victoria kwa laki na ishirini.
 
jezy nenda k/koo stendi ya msmbazi kuna duka inaitwa AB Sports kuna jezy za timu zote bei ni elf 25 ila ukiprint jina jezy unauziwa elf 20
 
Unatakiwa uwinde sale bana. Kiatu ghali lakini utavaa 5 yrs bila kununua. Hivyo vya kkoo kila miezi 3 unanunua kingine?
We unasema lile duka la Adidas? Pale kwa bei kufurum kukuta kiatu kinauzwa jiwe tano ni kawaida kabisa...
 
Back
Top Bottom