Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema. Maandamano makubwa yatafanyika kutoka monduli kwenda mjini Arusha kutangaza rasmi. Yeye mwenyewe ndie amezungumza na daily news.
Source: Daily News uk wa 6. Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika. Kivunjwe chama cha majambazi!
Mie siamini mpaka hiyo kesho ifike!!!
Hata mimi siamini,vinginevyo kama ni kweli ni lazima nikashuhudie maandamano Arusha.
hili tuliliona.......na tulishasema....
Tunamaliza Arumeru tunahamia Monduli.....
mbona simple sana.....
Mie siamini mpaka hiyo kesho ifike!!!
If you can't fight them, join them!...Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika.
Now is believe Lowassa is in his way to CHADEMA. Amewatanguliza vijana na hapa inaonyesha in systematically planned. Nataka niamini kwamba inner circle ya CHADEMA inafahamu kinachoendelea. Lets wait and see sitaki ku- pre empty sana.
Ingawa si vizuri kuwa na negative fillings but hata mimi kawazo uliko nako kako kichwani kwangu.......Hawa wa Monduli kuhamia CDM wanaletwa na EL au wanakuja kwa mapenzi yao au wametangulizwa? nisaidieni wanajf
Nakuomba tumpokee ila atubu na ahaidi kutofanya kama alivyo fanya akiwa ccm.Kama haya ni ukweli basi nina kila sababu ya kuamini kuwa nyuma ya hao madiwani kuna mkono wa EL, yawezekana kabisa amefikia uamuzi wa kujivua gamba. Ushauri wangu kwa CDM ni kwamba: mtaji wake wa watu na pesa tunauhitaji lakini si yeye. Kwa hiyo atuletee watu na atupe na pesa zetu alizochuma kutoka kwa watanzania ili zikafanye maendeleo ya nchi. Yeye akae kando na siasa ajipumzishe asubiri siku watanzania watakapomusamehe.