Madiwani Kibao Monduli kuhamia Chadema kesho - Daily News

Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema. Maandamano makubwa yatafanyika kutoka monduli kwenda mjini Arusha kutangaza rasmi. Yeye mwenyewe ndie amezungumza na daily news.

Source: Daily News uk wa 6. Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika. Kivunjwe chama cha majambazi!

EL aliposema yeye ni mtu wa vitendo na si wa porojo watu hawakumwelewa. Huu mkakati ameupanga siku nyingi sasa anautegua kwa awamu. Ilianza na wenyeviti wa vitongoji na watu wao, sasa madiwani, akishafyagia kote ndipo atamwagika mzee mzima, unless CCM wawe tayari kwa maamuzi magumu ya kumkubalia matakwa yake. Chezea Laigwanan!
 
Lile siyo jengo la CCM ni la chama tawala. Hivyo, CDM ikiingia madarakani itakuwa lao pamoja uwanja wa
Sheikh Amri Abeid ambao umejengwa kwa michango ya wananchi wa Mkoa wa Arusha.
 
Na James Millya ndiye ataenda kuwambia wamasai kwamba Nyerere na Moringe walishakufa kwa hiyo siyo wao wanaowatumaga wagombea kwao. Very Strategic
 
hili tuliliona.......na tulishasema....
Tunamaliza Arumeru tunahamia Monduli.....
mbona simple sana.....

Kwa sasa tupo mwanza twaelekea huko Bukoba pia mwaka wa mavuno huuu.
Hii miaka mitatu iliyo baki CCM wataparaganyika sana.

Namhurumi Nape ni bora nae ange kuwa ameanzisha CCJ yake sasa wangekuwa na wengi nao teh teh teh teh


 
Now is believe Lowassa is in his way to CHADEMA. Amewatanguliza vijana na hapa inaonyesha in systematically planned. Nataka niamini kwamba inner circle ya CHADEMA inafahamu kinachoendelea. Lets wait and see sitaki ku- pre empty sana.

Kwa mantiki hii EL amefutiwa dhambi zake za ufisadi mpaka akubalike kuhamia CDM?!
 
Hawa wa Monduli kuhamia CDM wanaletwa na EL au wanakuja kwa mapenzi yao au wametangulizwa? nisaidieni wanajf
Ingawa si vizuri kuwa na negative fillings but hata mimi kawazo uliko nako kako kichwani kwangu.......
 
[QUOTE=Murukulazo;......gud news!
WOW,Nape where are you.I want to see your movements of keeping alive your party and ur corrupted regime.
WARNING: political misconduct of ccm can't change through words of your mouth.
PPLEEEES !
 
Kama haya ni ukweli basi nina kila sababu ya kuamini kuwa nyuma ya hao madiwani kuna mkono wa EL, yawezekana kabisa amefikia uamuzi wa kujivua gamba. Ushauri wangu kwa CDM ni kwamba: mtaji wake wa watu na pesa tunauhitaji lakini si yeye. Kwa hiyo atuletee watu na atupe na pesa zetu alizochuma kutoka kwa watanzania ili zikafanye maendeleo ya nchi. Yeye akae kando na siasa ajipumzishe asubiri siku watanzania watakapomusamehe.
Nakuomba tumpokee ila atubu na ahaidi kutofanya kama alivyo fanya akiwa ccm.
na baada ya kuridhika na mwenendo wake akiwa cdm tunaweza kuamua hata kumpa uongozi.
kama atalitambua kosa lake na kuomba msamaha na asamehewe hata mungu anapenda hivi
usiangalie uzito wa kosa lake ila angalia kama amelitambua kosa lake hivyo awezi kulifanya tena
 
Tanzania bila ccm inawezekana.
CHANGAMOTO;Ni vema makamanda tuendelee kutoa elimu ya uraia na demokrasia vijijini.
Watu wamechoka na hii khali ya kuwaacha wezi wakidunda mtaani eti wajivue magamba:ALIYEWAVIKA NANI???
 
mkuu wamesoma nyakati akuna kingine ukisoma nyakati kwenye hii nchi utakula mema ya nchi hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom