Madiwani Kibao Monduli kuhamia Chadema kesho - Daily News

Kama ni kweli basi EL is behind all these movements. anamkomesha swahiba wake pale magogoni. ameamua kama mbaya na iwe mbaya tu. ninavyoijua mm Monduli, ni CCM 100%. sasa ikibadilika na kuwa CDM 100% itakuwa poa sana mazee. EL anamwachia Millya 2015.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom