Madhara ya unywaji wa Pombe

Hizo ni long term watu wanaogopa hizi ishu ndogo ndogo ulewe udinye mtoto wa mtu condom utasema haina utamu utavua unapata umeme unakutembeza chaap
 
muogope mtu anayekunywa pombe mwenyewe ana maumivu mengi sana afu pombe inachangia sana kuharibu u bongo wa mtu unakuta mtu anakunywa pombe sana Leo kesho hakumbuki kitu lakini mlipanga vitu vingi vya msingi na ideas za ushindi
 
Wanasema ukiwa unakunywa kile kinywaji yule ndugu amenyanyua mikono juu na jamii ya hizo inakata mafuta na kupunguza viribatumbo bwashee
Hahaha sio kweli inategemea una kula vipi, mfano mimi natumia sana supu ya samaki wabichi kuliko supu ya nyama hiyo sio rahisi ufutuke , nyama pombe na kitambi ni ndugu mmoja
 
nafanya kazi na wenzetu wazungu wako makini sana pombe kwao ni part of celebration au furaha Fulani hivi na ukienda China kama unataka mke ukienda kwa wakwe lazima ukatie kidogo mpige stories ili wakujue vizurišŸ˜€
Wakuone kama ulilewa ni mtambo!
 
Tatizo watu wabishi sana.
 
Wanasema pombe inakadiriwa iligunduliwa 130000 iliyo pita , hizo notes bado hazitoshei kuipa heshima yake pombe bwashee
Nachojua kila kitu kina madhara cha msingi ni kuzingatia kiasi na pia mazoezi ya mwili ni muhimu na kula kiafya.
 
Ikiwa nilienda kucheza muhimbili basi endelea kunisimulia kuhusu afya yangu eti kisa pombe .

Ila nikuhakikishie sitaacha leo wala kesho pombe sababu hainitendei chochote kibaya kama unavyoishitakia kwangu
Daktari umegoma kabisa kuchukua notes sio🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…