MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,551
- 7,596
Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu ukianza kula nyama ya mtu hutaacha utaendelea kula
Walianza kwa wasio na vibali. Wakafuata kwa walio na vibali ila wageni
Sasa wamekuja na jambo lingine wewe hata kama mzuru hakikisha unazungumza kizuru fasaha la sivyo na wewe mhamiaji haramu
Tujiulize watanzania wangapi hawajui kiswahili
Nashukuru wameshakatiwa umeme na botswana ,linchi likubwa kumbe umeme wanaomba kwa jirani.