Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198

Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
 
Tukifika Huku ndiyo siku hiyo ccm wataheshimu uhuru wa watu.Bila kumwaga damu Kwa Tanzania tusahau uhuru na maisha mazuri Kwa mtanzania
 
Hadi leo Kenya haijawa na maisha mazuri...ufisadi upo palepale ...kibera bado ni slum ile ile
 
Jerry Rawlings wa Tanzania yupo mbioni anapiga jalamba kuwashughulikia wote wale wanaopoka haki za watu na vyama vyao.
Siku ikiwadia- akawawashia moto, msije anza kuomba msamaha maana tayari munajua madhara ya kukandamiza haki za watu.
 
Hadi leo Kenya haijawa na maisha mazuri...ufisadi upo palepale ...kibera bado ni slum ile ile
Uchumi wa Kenya ni mara mbili ya Tanzania wakati huohuo Kenya ni ndogo ukilinganisha na Tanzania.Kuhusu ufisadi Tanzania inaongoza ndiyo maana Kila taarifa ya CAG huonesha madudu Kila mwaka.buguruni,mbagala,mwananyamala,Tandika na sehemu nyingi za Tanzania ni slum.Wakenya nawapenda sana maana wao wako huru hata kuhoji maamuzi ya rais pale anapokosea tofauti na Tanzania
 
Unataka kuijua hali ya watu wa Kenya nje ya Kibera??
Huko ndio unaweza kutoa machozi.
 
Back
Top Bottom