Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,369
Kwa sasa wanajitahidi kukuteka maana mtindo wa kuwekeana sumu watu wameshtuka labda kama ni mgeni.
Idara za serikali kila mtu anamuona mwenzake nyoka.
Ukiwa mpole, Mkweli, mpenda haki subiri kifo cha mungu wao sio mungu unayemjua.
Imefikia ofisini hapa mpaka chai mtu anawasha gari kwenda kupata sehemu anazojua mwenyewe.